Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,339
- 5,112
Vipigo ni maisha ya mbetiji, haviwezi kumkimbiza. Wengine tunabeti kimya kimya lakini na humu tunapitia kusoma maoni ya wenzetu.Uzi umepoa sana sikuhizi ni vipigo ama nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipigo ni maisha ya mbetiji, haviwezi kumkimbiza. Wengine tunabeti kimya kimya lakini na humu tunapitia kusoma maoni ya wenzetu.Uzi umepoa sana sikuhizi ni vipigo ama nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maajabu hayoBaadae nitupie mkeka wa maajabu ya dunia wa mechi zote za robo fainali AFCON Kwa direct Win kwa kuwapa Angola, Guinea, Mali na Cape Verde na kuweka hata buku tu
Vipigo mzee, kanji hana masihara. Ni mwendo wa nyundo tu 😃😃Uzi umepoa sana sikuhizi ni vipigo ama nini?
Utakuwa labda kuna vitu ulikosea. Lakini mbona sasa hivi Inafanya kazi vizuri sana kwa kufanya malipo ya kutoa na kuweka pesa kupitia mitandao ya simu. Karibu hilo kwanzaNilijisajili nikaweka hela kupitia vodacom mastercard hela ikaenda na maji sina hamu nao hawa matapeli [emoji706][emoji706][emoji706]
Na kweli maajabu, si umeona kilichotokea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maajabu hayo
Italy ni ligi ya matapeliLeo boom 💥💥💥 hazipo au fiorentina kaondoka n mikeka
Na fiorentina alichofanya Jana Pepo atahisikia 2Aliyeharibu saana Dortmund..team ikitoka suruhu Tasa ujue Hali ni mbaya YA mikeka..means hakuna cha magoli Wala direct win
Wengine mitaji imekata imeenda na Wazee wa UturkeyHUwa sina utaratibu wa kurebet, ila leo nalazimika rebet. Naamini mchawi alikuwa B.Dortmund pekee