Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna mwana yule ndo mfano halisi wa kubet...yani yeye odd . 1.3 wisho..!!
Huyo sasa ni mjasiriamali wa betting kwa mfumo huu muhindi utampekeka puta sana...hapo unaweka timu 3 odd 0.8 unadeal na shoot on target na kona au yellow card bas
 
Attachments

  • Screenshot_20240203-095636.jpg
    Screenshot_20240203-095636.jpg
    94.2 KB · Views: 4
Kuna kila dalili wahuni wameanza kuichezea ligi ya ujerumani kama ilivyo kwa Italy. Matokeo ya hii ligi kwa mwaka jana na mwaka huu tangia umeanza kuna kila dalili wahuni wanafanya yao.
Duh we ndo unastuka leo?!!
Hii ligi ni kama maigizo ya kwenye mieleka!! Siku ya magoli ni magoli mechi zote ila kuna moja itatoa under, na mkubwa mmoja kutoa matokeo ya kushangaza!!
Ni ligi ya kipindi we pata muda kuangalia mechi japo moja ila usiwe na hasira tu maana unaweza ingiza mkono kwa Tv na kumchomoa mchezaji umchape makofi na kulejesha aendelee na mechi🤣🤣🤣
 
UTABIRI WA MPIRA LEO TAREHE 02/02/2024

Leo jua lipo ktk nyota ya Ndoo na MWEZI ukihamia ktk nyota ya Ng'e

AFCON:

(1) Nigeria vs Angola

Bila shaka yoyote na bila nguvu kubwa Nigeria atashinda mchezo huu
Nigeria vs Angola
Ft 1-0 ✅✅won
(2) Guinea vs DR Congo❌ ft 3-1

Mchezo huu pia tunampa Guinea ushindi, ingawa kunaweza kuwa na sare na baadae mikwaju ya Penalty ambayo hata hivyo Guinea atashinda

KWA hapa Tanzania;

KAGERA SUGAR vs YANGA

Hali inajionyesha kuwa mchezo kuwa mgumu na tunaona sare au Yanga kupoteza mchezo..

by magical power

UTABIRI WA MPIRA LEO TAREHE 02/02/2024

Leo jua lipo ktk nyota ya Ndoo na MWEZI ukihamia ktk nyota ya Ng'e

AFCON:

(1) Nigeria vs Angola✅✅ 1-0 ft

Bila shaka yoyote na bila nguvu kubwa Nigeria atashinda mchezo huu

(2) Guinea vs DR Congo ❌ 3-1 fr

Mchezo huu pia tunampa Guinea ushindi, ingawa kunaweza kuwa na sare na baadae mikwaju ya Penalty ambayo hata hivyo Guinea atashinda

KWA hapa Tanzania;

KAGERA SUGAR vs YANGA✅✅ 0-0Ft

Hali inajionyesha kuwa mchezo kuwa mgumu na tunaona sare au Yanga kupoteza mchezo..

by magical power
Wangap walifata mkeka huu na kudokoa baadh ya menchi mambo yalienda ivyo 🙏🏽
 
Hizi weekend kama hii naona ndizo za kupiga pesa, uefa zikianza pia kunakuwa na uncertainity kwenye upangaji wa kikosi bora kwenye mechi za weekend.
Pamoja na Borrusia Dortmund kusepa ya USD 100 jana nimeamua rebet. Nashare hapa mikeka yote miwili, mmoja wa kurudisha mtaji na faida kidogo na mwingine wa kuwin USD 1m.

Tukutane wiki ijayo kanjibai atakuwa kapigika hadi kukosa hata nauli ya kurudi asia.
 
Hizi weekend kama hii naona ndizo za kupiga pesa, uefa zikianga pia kunakuwa na uncertainity kwenye upangaji wa kikosi bora kwenye mechi za weekend.
Pamoja na Borrusia Dortmund kusepa ya USD 100 jana nimeamua rebet. Nashare hapa mikeka yote miwili, mmoja wa kurudisha mtaji na faida kidogo ma mwingine wa kuwin USD 1m.
Huu hapa mkeka wa kula angalau USD 1m, ukiweka angalau USD 50. Weka hizi selections kwenye kampuni yako upate codes husika.

Double Chance
Girona FC vs Real Sociedad San Sebastian () - 1X

Both teams to score + Totals
Deportivo Alaves vs FC Barcelona () -GG Yes and Over 2.5 goals

1X2
Valencia CF vs UD Almeria () - 1

Both teams to score + Totals
Real Madrid vs Atletico Madrid () - GG Yes and Over 2.5 goals

Over / Under
Bayern Munich vs Borussia Monchengladbach () - Over 2.5 goals

Both Teams to Score
SC Freiburg vs VfB Stuttgart () - yes

Double Chance
1. FC Cologne vs Eintracht Frankfurt () - X2

1X2
SV Darmstadt 98 vs Bayer Leverkusen () - 2

Both teams to score + Totals
Ajax Amsterdam vs PSV Eindhoven () - GG Yes and Over 2.5 goals

Both Teams to Score
RB Leipzig vs Union Berlin () - yes

Both Teams to Score
Stade Brest 29 vs OGC Nice () - yes

Both Teams to Score
VfL Wolfsburg vs TSG Hoffenheim () - yes

Both Teams to Score
Newcastle United vs Luton Town () - yes

Both Teams to Score
Sheffield United vs Aston Villa () - yes

Over / Under
Brentford FC vs Manchester City () - over 2.5 goals

Both Teams to Score
Manchester United vs West Ham United () - yes

Both Teams to Score
AFC Bournemouth vs Nottingham Forest () - yes

Both teams to score + Totals
Arsenal FC vs Liverpool FC () -GG Yes and Over 2.5 goals

Both Teams to Score
Chelsea FC vs Wolverhampton Wanderers () - yes

1X2
FC Porto vs Rio Ave FC - 1

Double Chance
Everton FC vs Tottenham Hotspur - X2

1X2
Glasgow Rangers vs Livingston FC - 1

1X2
Aberdeen FC vs Celtic Glasgow - 2

Double Chance
Villarreal CF vs Cadiz CF - 1X

Tukutane wiki ijayo kwenye kikao na waandishi wa habari kanji akisimulia alivyoliwa hadi kubakiza msuli tu.
 
Hizi weekend kama hii naona ndizo za kupiga pesa, uefa zikianga pia kunakuwa na uncertainity kwenye upangaji wa kikosi bora kwenye mechi za weekend.
Pamoja na Borrusia Dortmund kusepa ya USD 100 jana nimeamua rebet. Nashare hapa mikeka yote miwili, mmoja wa kurudisha mtaji na faida kidogo ma mwingine wa kuwin USD 1m.
Huu hapa mkeka kurudisha mtaji aliokula B.Dortmund na kupata faida kidogo. Weka kwenye kampuni yako upate codes husika.

Double Chance
Aberdeen FC vs Celtic Glasgow ()- X2

Double Chance
Girona FC vs Real Sociedad San Sebastian () - 1X

Over / Under
Deportivo Alaves vs FC Barcelona () - Over 2.5 goals

Over / Under
Real Madrid vs Atletico Madrid ()- Over 2.5 goals

Over / Under
Bayern Munich vs Borussia Monchengladbach () - Over 2.5 goals

Double Chance
SC Freiburg vs VfB Stuttgart () -X2

Over / Under
Ajax Amsterdam vs PSV Eindhoven () - Over 2.5 goals

Over / Under
Mali vs Ivory Coast () - Over 0.5 goals

Over / Under
Cape Verde vs South Africa () - Over 0.5 goals

Double Chance
SL Benfica vs Gil Vicente Barcelos () - 1X

Double Chance
FC Porto vs Rio Ave FC () - 1X

Double Chance
FC Famalicao vs Sporting Lisbon () - X2

Double Chance
Everton FC vs Tottenham Hotspur () - X2

Over / Under
Brentford FC vs Manchester City () - Over 2.5 goals

Over / Under
Arsenal FC vs Liverpool FC () - Over 2.5 goals
 
Wakuu! Mimi sijawahi kucopy code hapa halafu nikala

Inamaanisha humu watu mikeka yao inachanikaga yote! au mnaniwekea mikeka mibovu mizuri mnabaki nayo wenyewe!?

Watu wote humu tumeshindwa kuunganisha vichwa vyetu tumfilisi kanjibahi?
 
Wakuu! Mimi sijawahi kucopy code hapa halafu nikala

Inamaanisha humu watu mikeka yao inachanikaga yote au mnaniwekea mikeka mibovu mizuri mnabaki nayo wenyewe!?
Unataka odds ngapi leo? Nikwambie machaguo ya kuchagua ambayo 95% utapata.
Hii kazi ni ngumu sana, uafisa mgumu sana. Codes zenye odds kubwa huwa hazitick kila weekend
 
Unataka odds ngapi leo? Nikwambie machaguo ya kuchagua ambayo 95% utapata.
Hii kazi ni ngumu sana, uafisa mgumu sana. Codes zenye odds kubwa huwa hazitick kila weekend
Mkuu nipe odds hata 3 muhimu mkeka utick mjisafishe jina lenu kwangu😂 sababu maafisa wa humu bado sijaona utaalamu wenu.
 
Mkuu nipe odds hata 3 muhimu mkeka utick mjisafishe jina lenu kwangu😂 sababu maafisa wa humu bado sijaona utaalamu wenu.
Chaguo hizi mechi za leo jumamosi hadi jumatatu kesho kutwa zipe FT over 1.5 goals. Zitavuka odds 3. Hizo uhakika ni 99%.
- Arsenal, Manchester City, Bayern Munich, Barcelona, Real Madrid na Ajax. Hizi mechi zote zipe FT over 1.5 goals.
Jumanne asubuhi urudi kwenye huu uzi tena kusema codes za hapa huwa zinatoa au laa.
 
Back
Top Bottom