Bado tunahemaMaelekezo nimeyafuata!!
kwa hiyo niweke hela? unajua ela ya tofar ilivyo ngumu nasema ole wake keka liote mbawaUTABIRI WA MPIRA LEO TAREHE 02/02/2024
Leo jua lipo ktk nyota ya Ndoo na MWEZI ukihamia ktk nyota ya Ng'e
AFCON:
(1) Nigeria vs Angola
Bila shaka yoyote na bila nguvu kubwa Nigeria atashinda mchezo huu
(2) Guinea vs DR Congo
Mchezo huu pia tunampa Guinea ushindi, ingawa kunaweza kuwa na sare na baadae mikwaju ya Penalty ambayo hata hivyo Guinea atashinda
KWA hapa Tanzania;
KAGERA SUGAR vs YANGA
Hali inajionyesha kuwa mchezo kuwa mgumu na tunaona sare au Yanga kupoteza mchezo..
by magical power
Duh wewe mjamaa yanga atakandwa au draw ? Nitaweka hela ila nikipigwa naomba uikimbie ID yako ndugu yangu .UTABIRI WA MPIRA LEO TAREHE 02/02/2024
Leo jua lipo ktk nyota ya Ndoo na MWEZI ukihamia ktk nyota ya Ng'e
AFCON:
(1) Nigeria vs Angola
Bila shaka yoyote na bila nguvu kubwa Nigeria atashinda mchezo huu
(2) Guinea vs DR Congo
Mchezo huu pia tunampa Guinea ushindi, ingawa kunaweza kuwa na sare na baadae mikwaju ya Penalty ambayo hata hivyo Guinea atashinda
KWA hapa Tanzania;
KAGERA SUGAR vs YANGA
Hali inajionyesha kuwa mchezo kuwa mgumu na tunaona sare au Yanga kupoteza mchezo..
by magical power
Wewe hii mitaa tena umefata Nini au umepotea njia, usisahau nilikuambia Mali anachukua afcon mapema tuAiseeeee!!! Huu mkeka nimeeka hela ya vocha tuπ
Tho naogopa.
Weka codes acha maneno!!Wewe hii mitaa tena umefata Nini au umepotea njia, usisahau nilikuambia Mali anachukua afcon mapema tu
Ndo Hio sasa mpe Mali kuchukua afcon odds 8 hizo nje njeWeka codes acha maneno!!
Mkuu, ukiona umepewa mkeka alafu unapromocode, fahamu kuwa wewe unayepewa mkeka ndo fursa, mkeka ukichana anakula 50% ya ulichostake...so punters wengi wanachomesha mkeka lazima kuwe na timu 2 au 1 itachana.....Mkuu humu asilimia kubwa ni watu wenye akili timamu hayo mapromocode yanatosha sasa mzee kizuri kinajiuza bila mapambo mengi humu watu tushabetia makampuni yote makubwa M bet,meridian,primier,gal sport,Betway,betpawa,1xbet,sportpesa,thronebet n.k hakuna kitu utaeleza watu wasikijue kam kampuni yako ni bora watu watajiunga tu SIMPLE
Nigeria 0:1 Angola FT.UTABIRI WA MPIRA LEO TAREHE 02/02/2024