Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo naona over 0.5 zinalipa BP.
Shida ya hizi unakusanya mechi 12 ndiyo unapata odds 8. Bado hapo borrusia dortmund hajatoa 0:0.
Over 0.5 goals yenye odds nyingi ni mechi mbili za afcon leo, hapo hela ipo njenje. Haiwezekani hizo mechi ziishe bila kufikia angalau goli moja kila mechi.
 
Ukichukua code humu ukiweza fanya editing
Na sio kuja kulaumu eti ukichukua code humu huwezishinda wakati mimi code za humu ndio hunipa mitaji kwani huwa na cash out kama pesa ni kubwa

Asante wote mnao share codes humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…