Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

GG ... Maana yake team zifungane

NG ...maana yake wasifungene

Ukiongeza option YA 2+ maana yake

Mfano GG and 3 plus..wafungane Na magoli matatu virce versa
sivyo mkuu, ina maana kila timu ifunge goli 2+ (over 1.5)
 
Alotuma hii code namkubali sana😂😂😂🖐️
 

Attachments

  • Screenshot_20240203-183559.jpg
    95.5 KB · Views: 4
Huwezi kushinda mechi kwa astrology wala numerology... the knowledge of unseen belongs to the Almighty . Ingekuwa kuna possibility ya watazama nyota na wapiga ramli kujua mambo yajayo basi wakamaria wangekuwa matajiri sana.

Ungekuwa unatoa sure odds za point 2.00 basi ungeweza kuuza hata kwa milioni moja ...tungenunua na kuweka stakes hata za 10M ili tushinde.
 
Nilikuwa sijui hii kitu dah....shukrani sana kwa kunifungua ESPRESSO COFFEE

Mkuu Chukua hizi tips kwenye Betting

1. Betting ambayo hadi sasa inaaminika ni Ya MPIRA WA MIGUU, Japo nayo wanainunua sanaa, kwasababu ni mchezo wa wazi

2. Hizi Aviator sijui nini KAA MBALI NAZO, Ni Zinakuwa Controlled na Mtu kwenye Computer anaamua, Mshindi ale sh ngapi, na yeye apate faida kiasi gani, ndio maana watu maarufu wengi sanaa wamelipwa Pesa Za Kutosha Ku promote hii Biashara hasa haka ka Aviator [emoji3575]. Wanakuambia Fly kuwa Millionea ni BIG NO, Acha kabisa kuweka hata Tsh 100 yako.

3. WEBSITE ZINAZO TOA TIPS. Kuwa makini na Hizi Website ikiwezekana Soma maoni ya wadau wengine wanasema nini kuhusu hizo TIPS na WEBSITE. WEBSITE NYINGI SANA Sahizi Duniani Zimeshanunulia, hasa zile zilizokuwa zinaaminika kama Livescore na Zingine, Maharamia wa BETTING wameshazinunua Kuhakikisha kuwa watu wanafuata UBASHIRI WAO Na Wanakula Za KICHWA. Kuwa Makini na HIZO WEBSITE na NYINGINE NYINGI ZINAZO ANZISHWA.

4. SOCIAL MEDIA INFLUENCERS WA TIPS / CODES / MIKEKA. Hawa wapo sanaa TWITTER (X), TELEGRAM, WHATSAPP, INSTAGRAM, Na kwingineko, wanakupatia CODES, PROMOCODES, Na Link usiteseke kuweka Mkeka, Hawa Kaa nao Mbali, Ni Bora Uje humu JF uangalie Watu MAONI wanayo yatoa na uchambuzi wao, Then Changanya na zako utapata MKEKA.

5. APPS ZA BETTING… Kabla Huja Download App yoyote angalia ina STAR ngapi na Wadau wanasemaje kuhusu hiyo App, kabla hujaanza kutumia ubashiri wao, Ipe Uangalizi wa Mwezi mmoja, Usiwe na Haraka kuona kama WIN ni Nyingi au Chache.

6. USIINGIE MKENGE WA KUTAMANI USHINDI WA MTU KWENYE SOCIAL MEDIA. Hapa naongelea toka kwa hawa Mawakala, Betting sites, na Influencers wengine, anakuwekea Mkeka Kashinda Millioni 1, 2 yaani yeye kila Mkeka Ana shindw hana Loose kuwa Makini. KUMBUKA DUNIANI WATU WANAWEZA KUTENGENEZA SURA YAKO KAMA ILIVYO UKAONEKANA UMEUA MTU ULAYA [emoji28][emoji28] Hawashindwi KUTENGENEZA PICHA ZA MKEKA KUONESHA WAMESHINDA. Ni Kitu Kidogo sanaaa Hata wahuni wa Kariakoo wanaweza kufanya.


Mwisho, Kuna WADAU HUMU NI MAWAKALA WA MAKAMPUNI FULANI, Waulize Kiuwazi, Wanafaidika VIPI na WAO KUWA WAKALA kwa Kutoa CODE, Na PROMO CODE KILA SIKU?

Tuamke, Mkeka wa Kweli ni ule unao weka kwa Akili yako
 
Ushauri mzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…