Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Attachments

  • Screenshot_20240204-065136.png
    Screenshot_20240204-065136.png
    14.8 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240204-065037.png
    Screenshot_20240204-065037.png
    34.7 KB · Views: 6
Nimeelewa mikeka mizuri mnabaki nayo, mibovu mnatupostia humu tucopy codes
Ndg mbona nilikusanua mapema japo haikuwa code,,,, ilibidi kiasi ambacho ungepata kwenye ule ungelinda kwa kuweka nusu kwa single!!

Ila yote kwa yote tunabahatisha yawezekana wangefungana pia,,,,, ndo betting hatuwezi fanana sote fikra

Alafu cyo kwamba kila muda ni winning, kupoteza kupo pia ndo betting we unakosa kule mwenzako anafurahia, kuna muda nyote mnapoteza
 

Attachments

  • Screenshot_20240204-071543.png
    Screenshot_20240204-071543.png
    19.5 KB · Views: 4
try hizi.basketball tips[emoji4] leo wacha nijaribu basket tips[emoji120] inshalah

5.45 odds NBAView attachment 2893539
5.45 odds from NBA from brother booooooooooooooooom[emoji4] congrats if ulicheza[emoji4], nkatumia wasafibet for the first time nijaribu wakoje manake hua siikubali kabisa naiona imekaa very local[emoji38] na cas nlikua na offer [emoji4] and its boooooooom
%E8%B6%85%E7%BA%A7%E6%88%AA%E5%B1%8F_20240204_094202.jpg
 
Weekend ya Maokoto Ndani Ya
@helabet_TZ ..odds kubwa, Malipo Ya Faster sana.

▪️JISAJILI HAPA 👉 👉 http://cutt.ly/vwqkufh1

▪️PROMOCODE 👉 BONGE

@helabet_TZ @HelabetsuportTZ

Unapojiunga Helabet Tanzania usisahau kuweka BONGE sehemu ya promo code
 
5.45 odds from NBA from brother booooooooooooooooom[emoji4] congrats if ulicheza[emoji4], nkatumia wasafibet for the first time nijaribu wakoje manake hua siikubali kabisa naiona imekaa very local[emoji38] na cas nlikua na offer [emoji4] and its boooooooomView attachment 2893700
Una kaupepo flan hivi,,,,, hongera sana,,,,,,

Haka kaupepo kalikuwa kwa Joanah
 
Nimeamka nakuta lost hivi Porto alitokaje mbona naona magoli kama alifunga yakakataliwa duuu mpira unaharibiwa na matajiri wa betting kuuza hizi mechi ili tuliwe! Inakuwaje mtu wa kuwin magoli mawili mpaka manne leo anatoa 0-0 tena yupo nyumbani na anacheza na timu underdog! Yan betting hata uwe na hela ya mtaji ni kipigo tu hata utafute odd 1.09 mechi moja na ujilipue nakwambia bado utapigwa tu!
 
Nimepoteza laki sita ivi ivi kweli Betting ni haramu aise
Pole sana mkuu kanji anakanda sana uwe unacheza nae kwa makini usiwe unaweka mtaji woooote magame yenyewe haya ya kina fc porto draw hayatabiriki
 
Back
Top Bottom