Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

_20240203_203703.JPG
 
Huyo Milan naona kama tayari kachana huu mkeka, Italy ligi ya kijinga sana.
Pia umempa milan option ngumu kidogo.
Mtoe Milan kwenye huu mkeka. Pia hao wareno wakiwa away wanaweza ishia 0:1 FT. Bora umpe huyo lisbon dabo chansi ya away win or draw.
ameboom boss huyo milan[emoji4], God is good[emoji4]
 
try hizi.basketball tips[emoji4] leo wacha nijaribu basket tips[emoji120] inshalah

5.45 odds NBA
%E8%B6%85%E7%BA%A7%E6%88%AA%E5%B1%8F_20240204_011103.jpg
 
Back
Top Bottom