AfisaUbashiriMwandamizi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 794
- 1,139
Ngoma zote ni draw tu dadekiKwani huko live score spurs na celtic wamefungwa?
Naona watu washawaanzishia matusi hapa
CelticCeltic umenilaza na viatu
We shukuru celtic & spurs ilianza mechi mapema saa tisaCeltic
Dortmund
Hizi timu mbili huwa ni makengee sanaaaa..
Utapigwa mpaka uchakaejamani nataka kuamia kwenye makatuni naona yanalipa
Tayari uko Simba ishatoa 1-0 ✅✅Tutayaona mengi msimu huu
Sipati picha hiyo mechi ya Mali ulivyokuwa unasubiri goli kutoka kwa Ivory Coast ulikuwa na hali gani...AfisaUbashiriMwandamizi itabidi nianze kutuma codes zangu humu kuwasaidia maofisa...
View attachment 2893269
boooooooom, cm ilizima nmechelewa kuona, congrats if you played[emoji4]
again, boooooooom[emoji4], hongera if uliplay huu pia[emoji4]
ameboom boss huyo milan[emoji4], God is good[emoji4]Huyo Milan naona kama tayari kachana huu mkeka, Italy ligi ya kijinga sana.
Pia umempa milan option ngumu kidogo.
Mtoe Milan kwenye huu mkeka. Pia hao wareno wakiwa away wanaweza ishia 0:1 FT. Bora umpe huyo lisbon dabo chansi ya away win or draw.
Shetani alivyo na majaribu sasa ,,, cape Verde ft 0:0Huu mkeka nilijua nitaubutua tu, sijapata pressure yoyote nasubiri kanji anitumie hela yangu ya Kumalizia weekend😂
Nakuambia uchawi upooo!!!😂Shetani alivyo na majaribu sasa ,,, cape Verde ft 0:0
Kama ulifuata ushauri kwa kudabo kiasi kulinda maokoto hongera,,,, kama ulikaza fuvu poleShetani alivyo na majaribu sasa ,,, cape Verde ft 0:0