MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Inakutaka uwe na moyo wa kiumeJamani nyie mnaobet high stake Kuanzia laki 2 kwenda juu huu moyo mnautoa wapi jamani?..hebu nifundisheni mwenzenu Aki Jana kwa Mara ya kwanza nilibet 100k kwa single bet sikulalaa usiku mzima Niko naiwaziaa[emoji23][emoji23][emoji23] na mbaya zaidi game ilikuwa ya saa 9 usiku. Nimeamka Leo asubuhi nakuta mzigo Ila hoo hoo I suffered alot[emoji1][emoji1]. Jamani nipeni mbinu mnatumia watu wa high stake.
Chache mnooWakuu Leo Kuna Mechi za Kueleweka?
Kampuni gani?long shot
View attachment 2895106
Ngoja nikufuate tu ndugu yangu sasa nitafanyaje maana nikishupaza shingo yananikuta makubwa mnoMECHI ZA LEO 5/2/2024
TANZANIA
Yanga vs Dodoma jiji
Matokeo:
Yanga atashinda bila wasiwasi
MECHI ZA NJE
(1) Brendford vs Manchester city
Manchester kushinda- ndiyo
Goal over 2.5
(2)As Roma vs Cagliar calcio
As Roma kushinda- yes
Goal over 2.5
(3) Rato vallecano vs Fc Sevilla
Both to score - yes
Double chance Rato vallecano or draw
(4)Casa Pia Atletico vs Boavista Porto
Both to score - yes
Double chance -Casa or draw
by magical power
Atarudi tu huyo maana huko mtaani atajikuta anafanya biashara anapata faida kiduchu + usumbufu wa TRA na ma taasisi kibao, atarudi tu kwa Muhindi na akirudi ajue atarudisha hiyo 19M kwa mmiliki wa awali.nimeitoa huko twitter (X). kuna jamaa anajiita SONKO, kaacha kubet baada ya kubutua milioni 19. zali zalina
View attachment 2894756
Kuna ela apa mkuuNgoja nikufuate tu ndugu yangu sasa nitafanyaje maana nikishupaza shingo yananikuta makubwa mno
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Hii ina asilimia kubwa za kutoa.Chache mnoo
Yanga Win
Man city Win
Roma vs Cagliari over 1.5
Jamaaa inaonyeshaa kaamuaa kuacha baada ya kipigo kikali kutoka kwa kanji bayiii maana amekataaa kutoa risiti au anaogopa wachawi 🤣Atarudi tu huyo maana huko mtaani atajikuta anafanya biashara anapata faida kiduchu + usumbufu wa TRA na ma taasisi kibao, atarudi tu kwa Muhindi na akirudi ajue atarudisha hiyo 19M kwa mmiliki wa awali.
Shukurani Sana boss.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utazoea tu,wewe umeweka a single bet
Watu Wana stake high kwenye match mpaka 6.
Ila nakushauri,kwepa sana Mechi za usiku.
Unajua Usingizi ni Afya,narejea Tena na tena Usingizi ni Afya.
Otherwise unajiumiza na at age of 40s utakuwa na tatizo kubwa mnoo,la msongo wa mawazo na kukosa Usingizi kikweli,na hili hupelekea Kupunguza uwezo wa kumbukumbu kwa kiwango kikubwa mnoo
Hii hata kwa vijana wadogo,kukosa proper Usingizi basi shida ya kumbukumbu ipo.
All in Yote,utazoea tu ila punguza tension unapo stake high. Ila ni Option nzuri
Asante Boss[emoji1]Inakutaka uwe na moyo wa kiume
Usiwe hunywi pombe , usiwe mmbea mmbae na pia uwe jasiri sana basi ni rahisi unaweka hata milioni alafu unatulia kama hauelewi vile .
Huku moyoni ukijiambia lolote na liwe nitapokea
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Nishaweka laki yangu kwa yanga maana juzi nilikaza kichwa fuvu likapasuliwaKuna ela apa mkuu
Sasa unikose soda tuNishaweka laki yangu kwa yanga maana juzi nilikaza kichwa fuvu likapasuliwa
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app