MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Inakutaka uwe na moyo wa kiumeJamani nyie mnaobet high stake Kuanzia laki 2 kwenda juu huu moyo mnautoa wapi jamani?..hebu nifundisheni mwenzenu Aki Jana kwa Mara ya kwanza nilibet 100k kwa single bet sikulalaa usiku mzima Niko naiwaziaa[emoji23][emoji23][emoji23] na mbaya zaidi game ilikuwa ya saa 9 usiku. Nimeamka Leo asubuhi nakuta mzigo Ila hoo hoo I suffered alot[emoji1][emoji1]. Jamani nipeni mbinu mnatumia watu wa high stake.
Usiwe hunywi pombe , usiwe mmbea mmbae na pia uwe jasiri sana basi ni rahisi unaweka hata milioni alafu unatulia kama hauelewi vile .
Huku moyoni ukijiambia lolote na liwe nitapokea
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app