blackice2100
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,188
- 2,897
Dah ndo maana huwa napenda kuingia humu,,,,Mzee nakuombea maana Hawa wajinga unakuta dakika ya kwanza tu kashapiga Butiππ
Edit: hii kazi ngumu aisee dakika ya kwanza tu jota kashamtia mtu buti
Zote win kisha tuliaChache mnoo
Yanga Win
Man city Win
Roma vs Cagliari over 1.5
Wakuu Yanga HT Over 0.5 Ana Uhakika wa Kutoa Kweli? Au wana luka Luka tuu?
Mbombo ngafu hii,,,, watoto wanamkazia kila mechiWakuu Yanga HT Over 0.5 Ana Uhakika wa Kutoa Kweli? Au wana luka Luka tuu?
MmhYanga over 2.5β β π―
Akili za kuambiwa changanya na zako!!.. Sasa hivi watu wana edit tu ili aweze kuvuta wajinga wengi baadae....hapo hata akisema atengeneze group kisha atoze 30k per month kuna wajinga watatoa ili wapate odds.nimeitoa huko twitter (X). kuna jamaa anajiita SONKO, kaacha kubet baada ya kubutua milioni 19. zali zalina
View attachment 2894756
IShatoa mkuu ni π₯π₯πππ°π°πΈπΈπ΄Nishaweka laki yangu kwa yanga maana juzi nilikaza kichwa fuvu likapasuliwa
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Sijawahi kueka code!
Nilikua najiuliza huyo Joanah mbona leo yuko hivi kesho vile kumbe mpo wawili leo ndo nimejua.
Mimi naona Kanuni mojawapo kuweza kushinda ni kujipangia unataka jumla ya odds ngapi? Odds zinazowekwa kwenye mechi husika huwa ni angalizo lapili.Wakuu nimuamini Man city over 3.5? Ana odds 2.5
Mimi naona Kanuni mojawapo kuweza kushinda ni kujipangia unataka jumla ya odds ngapi? Odds zinazowekwa kwenye mechi husika huwa ni angalizo lapili.
Yanga katoa ila goli mbili kashindwa yaani najihisi vibaya hakuwa kunisaliti hivi misimu miwili iliyopitaIShatoa mkuu ni [emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji383][emoji383][emoji389][emoji389][emoji384]
Kweli kabisa. Hapo chini nilikuwa natafuta jumala ya Odds 5 tu. Sasa nilichokuwa naangalia kujaribu kuweka options ambazo tunaamini zitatupa matokeo ya uhakika. Kwenye hizo timu 2 Torino na US Seleritana zote sio wazuri kwenye kufunga magoli , ingawa mmoja ni wa 10 mwingine anashika mkia.Mkuu unajua how Odds zinakuwa Calculated [emoji28][emoji28]