Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mzee nakuombea maana Hawa wajinga unakuta dakika ya kwanza tu kashapiga Buti😃😃

Edit: hii kazi ngumu aisee dakika ya kwanza tu jota kashamtia mtu buti
Dah ndo maana huwa napenda kuingia humu,,,,
Nomecheka sana aisee
 
Wakuu Yanga HT Over 0.5 Ana Uhakika wa Kutoa Kweli? Au wana luka Luka tuu?

IMG_1974.jpg
 
nimeitoa huko twitter (X). kuna jamaa anajiita SONKO, kaacha kubet baada ya kubutua milioni 19. zali zalina
View attachment 2894756
Akili za kuambiwa changanya na zako!!.. Sasa hivi watu wana edit tu ili aweze kuvuta wajinga wengi baadae....hapo hata akisema atengeneze group kisha atoze 30k per month kuna wajinga watatoa ili wapate odds.
 
Sijawahi kueka code!
Nilikua najiuliza huyo Joanah mbona leo yuko hivi kesho vile kumbe mpo wawili leo ndo nimejua.

Basi jaribu kuumiza kichwa mara kadhaa halafu uweke code hata mara tano humu...utaelewa wanaoweka code lengo lao sio kupotosha bali betting ni ngumu tu

Tupo wawili ndio...yule mwingine ana double N
 
Mkuu unajua how Odds zinakuwa Calculated [emoji28][emoji28]
Kweli kabisa. Hapo chini nilikuwa natafuta jumala ya Odds 5 tu. Sasa nilichokuwa naangalia kujaribu kuweka options ambazo tunaamini zitatupa matokeo ya uhakika. Kwenye hizo timu 2 Torino na US Seleritana zote sio wazuri kwenye kufunga magoli , ingawa mmoja ni wa 10 mwingine anashika mkia.
Torino alikuwa nyumbani, lakini nikachagua under 4.5.
Screenshot (82).png

Screenshot (83).png
 
Back
Top Bottom