Binafsi nafikiri ungeangalia ni option gani zimekua zikikupa matokeo na kwa idadi gani ya team unazo chezaWakuu vipigo vimezidi, nimeamua kuanzia sasa sibeti zaidi ya timu kumi.
Nione je kutakua na mabadiliko?
Mambo ya chance na event, wakati sie tunaangalia "probability" Kwa event 3 yaani unasikia mtu anasema "mpira una matokeo matatu" wakati wao wanadadavua kiundani zaidi Kwa kuiangalia other factors
Wakuu vipigo vimezidi, nimeamua kuanzia sasa sibeti zaidi ya timu kumi.
Nione je kutakua na mabadiliko?
Jamaa kaamua akafanye biashara nyigine ila ni mihemkoo tyuuu.. soon atarudiiiKama hujui uliza bro...Sonko ni mwana nipo naye kwenye group la basketball....jumapili aliweka odds 4 kwa stake kubwa akapiga 8M then akaweka odds 3 kwa stake kubwa akapiga 11M...jumla kampiga mrusi 19M...
Mi option zangu ni Over na GG. Nataka nibase humu mkuuBinafsi nafikiri ungeangalia ni option gani zimekua zikikupa matokeo na kwa idadi gani ya team unazo cheza
Wakuu nawakumbusha.
Maswali mengi ambayo watu wa ku-Bet huwa tunajiuliza ni
1. Kuna Website ambayo ina Tabiri Mechi zote kwa uhakika wa Asilimia 100%?
2. Je, Kuna App ambayo Inakupatia Utabiri wa Mechi kwa 100%?
3. Je haya Matangazo ya VIP BETTING TIPS, TELEGRAM, Whatsapp Ni Ya Kweli kwa Asilimia 100?
Ukweli ni kuwa HAKUNA. Betting ni all ABOUT PROBABILITY, TAKING CHANCES, TAKING RISK na Kufuatilia mienendo ya TIMU.
Katika Ulimwengu wa Kubet kwa sasa, Kuna Makundi 2. Kundi la Kwanza Wanao taka Kumpasua Kanji (Wengi wetu), Na Kundi La Pili ni Hawa Wanao taka KUTUPASUA SISI ambao Tunamsaka KANJI Kwa Udi na Uvumba. Ndio Wanajiita VIP BETTING TIPS, Apps na Websites Mbalimbali. Ni kama WAGANGA wa Kienyeji [emoji28]
Kama Mganga wa Kienyeji anaweza kukufanya wewe uwe BILLIONEA kwanini Asijifanyie Yeye aaache KAZI YA UGANGA WA JADI [emoji28], Kama Mtu anakutaka ULIPIE HELA KUKUPA ODDS za Uhakika, Kwanini Hiyo Nguvu anayo tumia kujitangaza asiitumie Katika Kubet kwa Kutumia hizo hizo ODDS anazo kupatia WEWE? Amkeni Hakuna Kitu kama Hicho. Tuache kupoteza HELA
USHAURI WANGU, KAMWE USIJIUNGE NA MAGROUP YANAYO UZA ODDS
Naendelea.
Je Mechi FIXING NI REAL?
Nitakwambia NDIO, Mechi FIXING IS REAL. So ni Kwa Namna Gani Tunaweza Kuzijua hizi MECHI FIXING Ili Tuziepuke Mimi na Wewe?
Ukweli mchungu ni kwamba MIMI NA WEWE ni Watu WADOGO SANA kuzijua na kuzielewa FIXED MECHI, UNLESS TUNA MARAFIKI MABILLIONEA ambao wanaweza kutuambia kuwa Mechi hizi na hizi leo tume zi FIX (KIFUPI NI NETWORK NGUMU) Ambayo Mimi na wewe watu wa KAWAIDA hatuwezi kuelewa…. SO HIYO HATA USIHANGAIKE NAYO KWA NJIA YOYOTE ILE. Huwezi KAMWE Ku-access FIXED MATCHES.
KWA NAMNA GANI SASA UNAWEZA KUWA UNASHINDA KWENYE BETTING? Na KUPATA FAIDA?
Elewa Kwanza Kuwa, NI NGUMU KUTENGENEZA HELA KUPITIA BETTING. LAKINI INAWEZEKANA.
Kitu Kikubwa cha Kufanya ni, KUJIANDALIA MIPANGO MKAKATI YAKO AMBAYO UTAKUWA UNAITUMIA KUMLA KANJI…. Kama Vile Maximum nitabet timu 10, nita bet DIRECT WIN, nitabet Magoli tuu n.k Jiwekee Mipango yako mwenyewe. Hii Mipango Mkakati unaweza kuijaribu hata kwa MWEZI 1 Kuangalia kama Unashinda. Andika GAMES ZAKO CHINI NA UTABIRI WAKO, Usiweke Hela baadae kaangalie kama Ulishinda. Fanya hivyo mara kwa Mara hadi utakapo jiridhisha kuwa kwa sasa MIKAKATI YAKO INA ZAIDI YA ASILIMIA 80% Kumla KANJI
Ukiwa una BET, Usijiwekee MATARAJIO MAKUBWA, WEKA HELA AMBAYO HATA UKILIWA HAUTAUMIA SANA.
Kwasasa Kama Unatafuta Idea na BETTING nitakushauri hizi WEBSITES NI BURE KABISA… CHAMBUA NA ONGEZA AKILI ZAKO
1. LEAGULANE . COM (Hawa Jamaa wanakupatia Analysis ya kukufanya uewelee kila Timu) Angalia Mfano huu kwa Game za Leo
BOTH TEAM TO SCORE (GG) Wamechagua Timu 3 tuu katika zote za Leo na Huu ndio Utabiri wao
View attachment 2896221
BETTING OF THE DAY
View attachment 2896227
ACCUMULATOR BET
View attachment 2896231
Hiyo ni Mifano, Ongeza na Akili zako.
Mechi yake na Chelsea kaa nayo mbaliHuu mzunguko ni wakutembea na man city hata akutane na yeyote yule mpe city
Wewe ulipiga ngapi kupitia odds zakeKama hujui uliza bro...Sonko ni mwana nipo naye kwenye group la basketball....jumapili aliweka odds 4 kwa stake kubwa akapiga 8M then akaweka odds 3 kwa stake kubwa akapiga 11M...jumla kampiga mrusi 19M...
Wakina kayombo na genge lake,mawakala humu wapo wengi.Jukwaa linakosa ushindi wa kimbinu.Vipigo vikizidi
WATU WANAINGIZANA KING kwa kila style,Yaani usanii ktk jumba la wasaniii na kautapeli ka levels ya Nursery aisee Badoo sanaaa