Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Anapenda kupigwa mashine sana Joanah
Ni kawaida ya mademu wembamba. Nilishawahi kuwa na sampuli hizo hujutii. Huwezi kusikia nimechoka,utakuja kujua baada ya kuona siku nzima hatoki kitandani,hata kuinua mkono ishu muda wote usingizi mzito.
Ubaya unakuja kuingia kwenye kibarua cha kuangalia afya yake kuhakikisha anakula
 
We jamaa1[emoji848]
Ndo nguvu ya magic power???
 
kwa option uliyoweka, mkeka umechanika huo.

mkeka umechanika halafu unafosi uonekane won.
 
kushinda ni tofauti na kufuzu. kushinda ni full time direct win, na kupita/kufuzu ni kuqualify. watu wengi humu wanakuelewesha lakini bado tu unang'ang'ania iliolost ionekane won.
Mbona makasiriko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…