Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

MECHI ZA LEO 09/02/2024

Leo jua lipo ktk nyota ya Ndoo na mwezi vilevile .

SIMBA vs AZAM

Leo timu zote mbili zinalingana kinyota hivyo basi mchezo una dalili kubwa ya kuwa sare au Simba kupoteza mchezo.

Izingatiwe kuwa utabiri unaangalia mipangilio ya sayari, mwezi na jua. Hivyo hakuna Utaifa wala ushabiki, HAPA NI HAKI TU.

By magical power
 
UTABIRI WA MECHI 10/02/2024

Siku hii jua Bado lipo ktk nyota ya Ndoo na mwezi hupo ktk nyota ya Ndoo vilevile.

AFCON

South Africa vs Congo DR

Congo DR atashinda mchezo huu.

Sasa huu ndio muda mwafaka wa kumpa simba maana odds zinatamanisha.

Ujue betting ni sawa na kilimo cha nyanya.
Wote mnalima ila kulingana na timing ya kupanda kuna mtu atauza kwa 1.8 milioni na mwingine kwa 4 milioni.
 
Usijalibu mkuu utabiri wangu WA leo nilio utoa kutokana na unajim Simba inapoteza game ama sare leo
 
MECHI ZA LEO 09/02/2024

Leo jua lipo ktk nyota ya Ndoo na mwezi vilevile .

SIMBA vs AZAM
FT 1-1✅✅ TICKET WOON 😂😂🔥🔥🔥💣💣💴💰
Leo timu zote mbili zinalingana kinyota hivyo basi mchezo una dalili kubwa ya kuwa sare au Simba kupoteza mchezo.

Izingatiwe kuwa utabiri unaangalia mipangilio ya sayari, mwezi na jua. Hivyo hakuna Utaifa wala ushabiki, HAPA NI HAKI TU.
WANGAP MLIFATA HUU UTABIRI
By magical power
 
uwe unawaambia watu kuwa umetoa kwenye group huko telegram

Appreciate other people's efforts
what telegram group? sinaga hata h8yo telegram mkuu, yes zingine naedit mwenyewe zingine natoa kwa watu naojua wako vizuri kuedit,

na kushare humu ni vile tu natamani kuhelp pia wenzangu sababu pia nlisaidiwaga sana zamani nlipoanza betting, nilipigwa mpaka, but watu ambao hata siwafahamu they helped me, nkawin sana tena sana tena sana, gari yangu ya kwanza nilinunua cas of betting tena bet nloibaga kwa nigerian guy na ikawin, so relax , ukitaka cheza usipotaka tulia, si lazima ujue natoa wapi, au nalipwa?[emoji50]
 
what telegram group? sinaga hata h8yo telegram mkuu, yes zingine naedit mwenyewe zingine natoka kwa watu naokua wako vizuri,

na kushare humu ni vile tu natamani kuhelp pia wenzangu sababu pia nlisaidiwaga sana zamani nlipoanza betting, nilipigwa mpaka, but watu ambao hata siwafahamu they helped me, nkawin sans tena sana tena sana, gari yangu ya jwanza nilinunua cas of betting tena bet nloibaga kwa nigerian guy na ikawin, so relax , ukitaka cheza usipotaka tulia, si lazima ujue natoa wapi, au nalipwa?[emoji50]
Duh !! Kumekucha 😅
 
Vamos.

_20240209_185724.JPG
 
imagine eti nmetoa telegram sjui niwaambie watu, what for? humu ukiona watu wameshare bet slips we chagua unayoona nzuri cheza si lazima ujue watu wsmetoa wapi, such a crack
Hayo mabishano sijapenda kabsa adui ye2 n kanjii 2 m2 kutafta code uko au kuchambua mkeka hyo cyo kazi rahs kiihvyooo ametumia mda wake na mb zake kwahyo tunapaswa kushukuru ata mara 1 moja🙏🫱🏽‍🫲🏼
 
Back
Top Bottom