Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kundi la WAHUNI wa FACEBOOK wamehamia humu wakijua ndio watu wanatoboa kimaisha au wanatapelika na wao ndio wajuajiiii kumbe ujuaji wao humu tunawaona kama mapoyoyo wakuja tu na mazuzu fulani hivi ktk Comedy

Mwisho wake kila siku ni vituko t.

TunawaZOOM tu,mtatulia kimyaaa wenyeweeee
sijawahi kuona Code zako mzee yani wewe ni Taarabu non stop
 
NAWAKUMBUSHA.

Leo Kuna Mechi Nyingi sanaaa, Unaweza kuchanganyikiwa katika ku-bet. Nashauri.

Chagua Game 3 za Uhakika kwa kila League, Zifanyie uchambuzi upate Game 2 kila League, Halafu weka Mkeka wako, Stake Elfu 1 au 2 kesho utanikumbuka.

Acha Tamaa za Kuweka kila Timu
 
good day guys haya leo match ka zote[emoji4] , just humu ukiona slips angalia utayoipenda just cheza sio maneno

Tip 1

10 odds guys , straight wins only[emoji120]View attachment 2899324
%E8%B6%85%E7%BA%A7%E6%88%AA%E5%B1%8F_20240210_101032.jpg
 
kwa wanaoandaa mikeka wenyewe. hakuna siku zinazokera kama jumamosi na jumapili. ligi ndogo kibao za Germany na England zinachosha.
 
Back
Top Bottom