Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

linaitwa hivyo hivyo predict futbol nashangaa jamaa anajinadi eti ni yake😅😅😅😂😂😂😂
Yaani wakamaria sijui tunataka nini!!? Haya mambo ndio yalimafanya Invigilator aache kupost mikeka. Mbona tunaumia sana tukiona mtu anapost mikeka inayowin!!? Hata kama ametoa telegram si unyamaze tu. Moaka mtu ameamua kushare mkeka maana yake anataka na wengine wapate. Wengi wana magroup lakini hawapost. Tumuache apost kama huna stake za kufata mikeka yake wewe endelea na matreni subiri utashinda 85M kwa 200 mwaka 2045 ukishazeeka. Tuache chuki za kishamba.
 
Wenye red devil eyes nawakemea kwa jina lenye jina lipitalo majina yote!!
Wenye kuangalia code kwa manuio ya kuichomesha ,,, nawakemea!!!!

1Xbet code: KE4DD
 

Attachments

  • IMG_20240210_125156_270.jpg
    IMG_20240210_125156_270.jpg
    622.4 KB · Views: 5
Back
Top Bottom