Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

luton juzi kati kamkimbiza mtu 4-4 leo anapigwa na timu iliyoshika mkia na nilimpa dc.....

hivi vitimu vya kijinga marufuku kuvipa dc, ni overs na kona basi
 
Luton [emoji2369]

Chesterfield [emoji2369]

Wolvers [emoji2369]

Cardif city hata Goal Moja? [emoji2369]
 
hawa vichaa wamechana mkeka wa hela nyingi kweli.....na nimedeposit leo baada ya kama miez 3 kupita bila kudeposit
Screenshot_20240210-212327.jpg
 
Tunahitaji Mtu mmoja Atuchambulie namna Ya Kubet siku ya JUMAMOSI

PUNTERS Wengi tunapata hasara siku ya Jumamosi

IMG_6199.jpg
 
Back
Top Bottom