blackice2100
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,188
- 2,897
Na washabaatizwa kwa moto,,,, ckilizia vipigo sasaJeshi leo limefanywa kama kikundi cha wahuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na washabaatizwa kwa moto,,,, ckilizia vipigo sasaJeshi leo limefanywa kama kikundi cha wahuni
[emoji23][emoji23][emoji23]Anapenda kupigwa mashine sana Joanah
Hongera sana mkuu500k,Hello Valentine 🗣️😁😁
ile ya kizungu au whorscore na leag...??nina source naipata kila siku ila sikuona reply moja nikajua watu hawajaipenda
naleta moja in a few weka hata 2m if uko nayo mkuuWakuu tupien tips bas mbona mmekaa kimya kuna ki milion hakina pakwenda starehe nimekula weee na hakajaisha nimelala na madem 8 lakin bado hela haitak kuisha hebu nipen tips za kulost, eeh barca, arsenal, yanga, astonivilla, ajax, alt madrd , nani nimuongeze wa kulost ili nitapoitazama settled toka mwanzo mpaka mwisho lost tu ili m1 yangu iishe kihalali mana sion pakuipeleka mana kwetu shert hela ya jana ule yote isibakie asubuh yake
Kwani huwezi tuma codeusitumie app ya JF mkuu kama pic hazionekani, ingie google/chrome uingie website ya JF zitaonekana kirahis mkuu,nmebanwa sana job mkuu siwezi andika haraka
Hilo group la telegram liko wapinimeweka ushahidi hio mikeka yako yote unatoa telegram acha kubisha bisha hapa
mkeka uliyotoa telegram si huu hapa?
umeficha tu namba za.mdau na taarifa zake chini halafu unalia lia?View attachment 2898856
leta mkuu tutashukurunaleta moja in a few weka hata 2m if uko nayo mkuu
nafkri hii ni 888 starz je kwako unatoa na kueka hela!takriban siku mbili sas kwangu inazingua
Mkuu ujue duniani shetwani bado hajafa. Kumbuka kuna wahitaji wengi ambao wanalia kila uchao kutafuta angalau hata mlo mmoja tu kwao ni changamoto.Mkuu Mbochong'a humu ndani kuna shida kubwa mno, inafikia kipindi hadi mtu unawaza hawa raia wanahitaji watu wa aina gani humu kundini? Ukituma mkeka ukawin shida, usipowin tatizo. Kutukanwa na kuitwa majina ya ajabu, unashindwa kuelewa ni nini umewakosea watu.
Ndio maana wengine tumeamua kukaa kimya tu. Haina haja ya kusumbuana na kugombana na watu. Alhamudulilah Mungu anajalia KANJI anapigika haswa.View attachment 2900035
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Kwenye group au wapi mkuunaipata kila leo
Hapo mtoe ATL na Aston ,,, wengine wape kisha tuliaWakuu tupien tips bas mbona mmekaa kimya kuna ki milion hakina pakwenda starehe nimekula weee na hakajaisha nimelala na madem 8 lakin bado hela haitak kuisha hebu nipen tips za kulost, eeh barca, arsenal, yanga, astonivilla, ajax, alt madrd , nani nimuongeze wa kulost ili nitapoitazama settled toka mwanzo mpaka mwisho lost tu ili m1 yangu iishe kihalali mana sion pakuipeleka mana kwetu shert hela ya jana ule yote isibakie asubuh yake
3D8F4C1 sportyKwani huwezi tuma code
Ndo maana mnaishi umri mrefu ijapokuwa miwili yenu inazeeka mapema!!guys jana kanji kaniweza[emoji24], although moja ilinifuta machozi but kuna zingine niliweka very big stake na nikakulwa[emoji24], nimelia sana, leo nimefanya research mwenyewe , very small odds but i know is sure[emoji120]
kidogo tu narudi
[emoji120][emoji120][emoji120]3D8F4C1 sporty