2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,718
Vamooos.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mim nilifata code zote mkuu,tuombe Mungu tren lifike salama,kama kuna code nyingine tumanina source naipata kila siku ila sikuona reply moja nikajua watu hawajaipenda
Tabora Win, Dodoma 1x, Yanga WinLigi pendwa leo iko ,,,, haya namungo, Dodoma na Yanga
Mi nimeona ddm na namungo win draw ila Yanga win
nenda na Nigeria FT 100%.Ndugu wazee wa mikeka, inaonekana leo ni siku ya pesa. Leteni hiyo mikeka tukopi basi.
View attachment 2895753View attachment 2895755
Hapana kiongozi hiyo ni Megapari, juzi nilitoa pesa nikaacha hiyo 1M bado pia sijapata option ya kutoa maana mobile transaction zime be suspended.nafkri hii ni 888 starz je kwako unatoa na kueka hela!takriban siku mbili sas kwangu inazingua
Sawa Mkuu.Mkuu ujue duniani shetwani bado hajafa. Kumbuka kuna wahitaji wengi ambao wanalia kila uchao kutafuta angalau hata mlo mmoja tu kwao ni changamoto.
Hivyo kuteseka kwao ndio fulaha ya shetwani. Na kwa bahati mbaya shetwani anajizihilisha kupitia watu.
Hivyo kama umeamua kutoa sadaka toa tu bila kuangalia shetwani anasemaje kupitia hao vibalaka wake
Maana hio code utakao toa hapa ni sadaka tosha sana (huwezi jua)