Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

huko mkuu wanawajibu vipi kwamaan naona hata 888 hakuna option za mobile payment na majibu yao kwa upande huu kuwa zitarud lkn hawajui muda maalum,huko vp!
Huku hadi sasa hakuna majibu Mkuu, na sielewi itakuwaje, imenibidi kusubiri tu na kuendelea kuichezea polepole maana hakuna option.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
RECOVERY.


_20240211_230724.JPG
_20240211_230606.JPG
_20240211_230516.JPG
 
Nime cash out hela ya maana tu sio mbaya! Barcelona kwa haka katimu huwa anahangaika sana ndo maana nikamuua Barca ila nimecash out hata kidogo kinatosha asije kuchomolewa 😂
Screenshot_20240212-003456~2.png
 
Nimepambana toka mchana wa saa nane piga nikupige mpaka inafika saa nne usiku nilibaki na stake yangu.
Sasa hivi nimeidabo nimempiga wacha nilale, mimi mshindi kwa leo.
 
Mkuu lengo langu siyo kutaka watu wajue kuwa kuna MAKAMPUNI YA KUBETIA kwa sababu mimi siyo mfanyakazi wa haya makampuni. Lengo langu watu wajiunge kupitia link zangu na kwa kutumia Promo Code zangu ili wapate bonus kila Jumamosi. Hivyo elewa lengo langu. Hiyo siyo ngeni kwako ipo dunia nzima. Kama wewe hutaki kujiunga basi usijiunge ila kuna wenzako wengi wanajiunga.
Wanatumia Promo Code za Watanzania na siyo Promo Code za nje kama Nigeria.
Mkuu jiunge basi na wewe ili uwe mmoja wa wanufaika wa bonus kila Jumamosi.
Bonus tunapata bila hata ya kupitia link zako. Wewe lengo lako ni wewe upate Wewe hizo bonus kwa kuleta wateja, sio kuweka mikeka watu wawin
 
Back
Top Bottom