Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,203
- 5,997
Huku hadi sasa hakuna majibu Mkuu, na sielewi itakuwaje, imenibidi kusubiri tu na kuendelea kuichezea polepole maana hakuna option.huko mkuu wanawajibu vipi kwamaan naona hata 888 hakuna option za mobile payment na majibu yao kwa upande huu kuwa zitarud lkn hawajui muda maalum,huko vp!
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app