Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kama nihivyo kwanini wanakaa wanaweka na kutoa
Hii hata mimi huwa inanishangaza. Mbona makampuni ya hapa Tanganyika huwa yanakomaa na payment method moja muda wote!
Si mobile payment tu, wale jamaa hata VISA huwaga muda mwingine haipo upande mmoja hasa kutoa.
 
Juventus Jana Nilitegemea atapoteza kwasababu ya Majeruhi aliyo nayo.

Ila Bilbao Sikutegemea kama atashindwa hata kupata Goal moja.

Crystal Palace niliona hawezi kufunga goal kwasababu ya Majeruhi ila alifunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…