pyongyang
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 737
- 1,590
mmoja lazima achane hapo!Acha uoga wewe
Chersea win
Juve win
Porto win
Bilbao win
Msemo wa johan stake mbupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmoja lazima achane hapo!Acha uoga wewe
Chersea win
Juve win
Porto win
Bilbao win
Msemo wa johan stake mbupu
YanatimiaMliompa na mtakaompa juventus au chelsea leo mjiandae kisaikolojia, bundi leo anarukaruka hapo! Wale wa fc porto ondoeni presha mambo yataenda poa sana.....msijesema hamkuambiwa!
Mliompa na mtakaompa juventus au chelsea leo mjiandae kisaikolojia, bundi leo anarukaruka hapo! Wale wa fc porto ondoeni presha mambo yataenda poa sana.....msijesema hamkuambiwa!
Thibitisha kwamba kilimo ni bora kuliko kamariKama KAMARI ni bora kuliko Kilimo basi tuendeleeni,kisha uzeeni tutashuhudia
Hahaha yaani leo hata ningetabiri vipi nisingekula chochote aisee, ni bahati tu sikujilipua. Kesho tutapiga pesa Mkuu mark my words.Kama KAMARI ni bora kuliko Kilimo basi tuendeleeni,kisha uzeeni tutashuhudia
Kamariii sababu kubwa watu hawaachi ni Addiction ilaa ni Upuuzii...!!Kama KAMARI ni bora kuliko Kilimo basi tuendeleeni,kisha uzeeni tutashuhudia
Ligi ya Romania na Waarabu usijaribu kushobokeaaa yani sio magoli wala Ushindiii ni takatakaa mnoooKuna Romania aisee, huu mchezo ukiwa na presha unaweza kufa aisee, angalia hawa watu.View attachment 2902092
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Toka hapaa na meno yako ya kuungua[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kamarii sio mchezoAcha uoga wewe
Chersea win
Juve win
Porto win
Bilbao win
Msemo wa johan stake mbupu
Yaani inashangaza sana Mkuu.Ligi ya Romania na Waarabu usijaribu kushobokeaaa yani sio magoli wala Ushindiii ni takatakaa mnooo
Acha uoga wewe
Chersea win
Juve win
Porto win
Bilbao win
Msemo wa johan stake mbupu
dah hatar
Kama nihivyo kwanini wanakaa wanaweka na kutoaPengine wanataka tutumie mawakala.
Hata hivyo nimeshafanikiwa kutoa kwa Romano.
Hii hata mimi huwa inanishangaza. Mbona makampuni ya hapa Tanganyika huwa yanakomaa na payment method moja muda wote!Kama nihivyo kwanini wanakaa wanaweka na kutoa