Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi wa jana tulishinda
1 goal tu team ya mwisho ikachana mkuu[emoji24] nililia sanavipi wa jana tulishinda
hapana kulia mkuu siku zingine lazima tupoteze ila leo lazima tule1 goal tu team ya mwisho ikachana mkuu[emoji24] nililia sana
yan unastake pesa yote iliyopo au uliyodeposit nmejaribu kujiunga perfect money lkn inadai account numb nikieka Id inanikatalia yan mpk kichwa kinaumaNimejaribu kuwasiliana nao wakaniambia tatizo liko Selcom, kuhusu kurudi wameniambia tuendelee kusubiri au tujaribu payment methods nyingine.
Weke pesa (deposit) kisha unaistake pesa yote kwa odds zinazoanzia 1.1 then unaweza kuwithdraw zote zilizo kwenye account kwa njia hiyo mpya) me nimesajiri ASTROPAY ndio nataka nijaribu now.
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Mimi nimependa Tu Ile kutokuwepo kwa ushuru yaani odd ya 2.00 inakupa kiasi chako kamili so inachangia kuepusha tamaa na mrudikano WA games nyingiHii hata mimi huwa inanishangaza. Mbona makampuni ya hapa Tanganyika huwa yanakomaa na payment method moja muda wote!
Si mobile payment tu, wale jamaa hata VISA huwaga muda mwingine haipo upande mmoja hasa kutoa.
Hii Astropay naona majamaa Wameipondea Sana Hadi wakanitisha tamaa, ukiangalia review ya hii app ni hatariii, wanasema kudeposit ni rahisi Ila kuwithdraw is as bad as hell.Nimejaribu kuwasiliana nao wakaniambia tatizo liko Selcom, kuhusu kurudi wameniambia tuendelee kusubiri au tujaribu payment methods nyingine.
Weke pesa (deposit) kisha unaistake pesa yote kwa odds zinazoanzia 1.1 then unaweza kuwithdraw zote zilizo kwenye account kwa njia hiyo mpya) me nimesajiri ASTROPAY ndio nataka nijaribu now.
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Ndio maana mimi natumia mawakala wawili.Mimi nimependa Tu Ile kutokuwepo kwa ushuru yaani odd ya 2.00 inakupa kiasi chako kamili so inachangia kuepusha tamaa na mrudikano WA games nyingi
Assume Nina 50k nataka laki 1 natafuta odd mbili Tu ambazo zimekamilika tofauti na kampuni zingine yaani inabidi odd mbili na point mfano 2.3 na kuendelea. Sasa walivyoweka mitandao ya simu ilikuwa simple kudepost kwa Siri mfano umepigwa mara tatu mfululizo mpaka kiasi ulichoweka kwa wakala kimeisha eti unarudi tena kwa wakala dah yaani ni aibu hahahaha
Ulibet hivyo sasaJuventus Jana Nilitegemea atapoteza kwasababu ya Majeruhi aliyo nayo.
Ila Bilbao Sikutegemea kama atashindwa hata kupata Goal moja.
Crystal Palace niliona hawezi kufunga goal kwasababu ya Majeruhi ila alifunga