donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Birmingham city daaah, maK nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameshakula chuma 3 bilaSouthampton [emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Southampton [emoji2297][emoji2297][emoji2297
Ilikuwa niamke na hela nzuri kesho dah!Southampton [emoji2297][emoji2297][emoji2297]
boooooooom hongera ka ulicheza[emoji4]
boooooooooom, hii pia [emoji4]
Nacheki balance naona ziro,,,, naingia kwenye mikeka peke yake kazingua ,,,, naomba Mungu wakaziwe wabaki huko huko champion ship,,, msimu ujao washuke league one,,,,,Ila betting ni konyo sometimes
Ameshakula chuma 3 bila
Ni kweli kabisa Mkuu, nimejaribu ila ni wa hovyo haijawahi kutokea, nataka nirudishe tu pesa kwenye account nitafute odds kumi nistake pesa yote 1M (treni) la muda mrefu, nikipata sawa nikosa sawa. Imefikia stage akili imechoka kabisa.Hii Astropay naona majamaa Wameipondea Sana Hadi wakanitisha tamaa, ukiangalia review ya hii app ni hatariii, wanasema kudeposit ni rahisi Ila kuwithdraw is as bad as hell.
Cheza wababe wa england+ mechi za Madrid,,,, kwa kulinda wape win draw,,,Ni kweli kabisa Mkuu, nimejaribu ila ni wa hovyo haijawahi kutokea, nataka nirudishe tu pesa kwenye account nitafute odds kumi nistake pesa yote 1M (treni) la muda mrefu, nikipata sawa nikosa sawa. Imefikia stage akili imechoka kabisa.
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Labda kama hutaki kutoa, ila kama ukitaka kutoa deposit kwa wakala kiasi fulani kisha beti kwa odds kuanzia 1.1 kisha toa.Ni kweli kabisa Mkuu, nimejaribu ila ni wa hovyo haijawahi kutokea, nataka nirudishe tu pesa kwenye account nitafute odds kumi nistake pesa yote 1M (treni) la muda mrefu, nikipata sawa nikosa sawa. Imefikia stage akili imechoka kabisa.
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Pipa kama pipawakuu nimetengeneza trein la odd laki mbili nimeweka stake ya 50000 wamegoma nimeweka buku wamekubali ni meweka team 30 zime tik 10 bado 20 hawa walio baki sina presha nao mana ni wababe wa mech ajabu cash out inasoma buku 2 wakati odd elfu hamsin tayal zime win hivi hiz kampun zinatuonaje sisi hiyi sio dhuluma kwel odd elfu 50 cash out buku nawasiwas sana kama ka m68 watatoa kama ita win hiv ni wap nikawafungulie kesi
alooo hahahaha mkuu nielekeza pakustaki au niend kwa mzee wa miga toa ushaul nikapata nakutengezea odd elfu 40 mkuu unaweka mia unakula m70 vp hutakPipa kama pipaView attachment 2903533