Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa na Plizen ni wajinga mno, last week kaponea chupu chupu, kila akifunga goli linarudishwa, leo kaamua kulimwaga kabisa. Kwenye ligi yao cheza na Sparta Prague tu direct win.Hii Timu ya kifala sanaaaaView attachment 2904091
huwa si rebet bila kuwini mi nikiwin mech 5 kati ya 50 na cash out nakula kwanza changu kafaida naka rebet unakuta tren la miez mitatu nakula mpaka navimbiwaNimesha rebet kama mara 10 hivi
Hawa na Plizen ni wajinga mno, last week kaponea chupu chupu, kila akifunga goli linarudishwa, leo kaamua kulimwaga kabisa. Kwenye ligi yao cheza na Sparta Prague tu direct win.
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
WeweLazio vs Bayer over 1.5
PSG vs R. sociedad over 1.5
Leo nimeamua kutoa sadaka mtaa huu
Hao wapuuzi sijui wamefungwa vyuma miguuni.Wewe
😀😀 kanji anakuona ndugu yangu bora ungekaa kimya.Hao wapuuzi sijui wamefungwa vyuma miguuni.
Kipindi Cha pili ni uhakika [emoji736]
Kuna fiorentina kwa kuonyesha ye ni mbabe akapigwa sekunde ya mwsho chuma cha pili,,, alafu wahuni walee wanapiga makofi kuwaaga mashabiki🤣🤣🤣PAOK [emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Motivation speaker bhana,,,, sa mbona we ulikuwa macho?!Angalizo:-
Kama upo macho usiku huuu kisa KAMARI,aisee jitathmini,muda haukusubiri
Ni ukumbisho tu,weka mkeka,Pumzika kesho Maisha mengine yaendeelee