Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

MTANI TAG KESHO MATOKEO YA MECHI YA MILWALL FC VS IPSWICH FC MAANA NIMEWEKA X2 SOOO MTANI TAG MIMI NA LOG OFF....



ASANTENII


@everyone
 
Hii Timu ya kifala sanaaaa
IMG_6288.jpg
 
Angalizo:-

Kama upo macho usiku huuu kisa KAMARI,aisee jitathmini,muda haukusubiri

Ni ukumbisho tu,weka mkeka,Pumzika kesho Maisha mengine yaendeelee
 
Back
Top Bottom