Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

yan unastake pesa yote iliyopo au uliyodeposit nmejaribu kujiunga perfect money lkn inadai account numb nikieka Id inanikatalia yan mpk kichwa kinauma
 
Hii hata mimi huwa inanishangaza. Mbona makampuni ya hapa Tanganyika huwa yanakomaa na payment method moja muda wote!
Si mobile payment tu, wale jamaa hata VISA huwaga muda mwingine haipo upande mmoja hasa kutoa.
Mimi nimependa Tu Ile kutokuwepo kwa ushuru yaani odd ya 2.00 inakupa kiasi chako kamili so inachangia kuepusha tamaa na mrudikano WA games nyingi
Assume Nina 50k nataka laki 1 natafuta odd mbili Tu ambazo zimekamilika tofauti na kampuni zingine yaani inabidi odd mbili na point mfano 2.3 na kuendelea. Sasa walivyoweka mitandao ya simu ilikuwa simple kudepost kwa Siri mfano umepigwa mara tatu mfululizo mpaka kiasi ulichoweka kwa wakala kimeisha eti unarudi tena kwa wakala dah yaani ni aibu hahahaha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hii Astropay naona majamaa Wameipondea Sana Hadi wakanitisha tamaa, ukiangalia review ya hii app ni hatariii, wanasema kudeposit ni rahisi Ila kuwithdraw is as bad as hell.
 
Ndio maana mimi natumia mawakala wawili.
Kuna muda siku inakuwa mbaya, kudeposit mara 4 kwa wakala mmoja unaona aibu japo hamjuani.
 
1xbet wanazingua hatari, Kampuni kubwa but huduma deposit na withdraw hivyo kabisa.
 
Naomba pia kuuliza Kama Kuna mtu anachezaga casino za BC games?. Au hazina kibali Cha kuoperate hapa TZ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…