the numb 1
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 1,562
- 2,902
nilikuwa nawaza labd njia mbadala kutoa pesa zangu ni astropay coment hii inaanz kunipa wasiwas,kule nako kweny perfect money mawakala wakisenge wanataka ueke kwanzia 28k kmmk utafkr hela inaokotwa tuHii Astropay naona majamaa Wameipondea Sana Hadi wakanitisha tamaa, ukiangalia review ya hii app ni hatariii, wanasema kudeposit ni rahisi Ila kuwithdraw is as bad as hell.
1xbet wanazingua hatari, Kampuni kubwa but huduma deposit na withdraw hivyo kabisa.
Kampuni za kayomboo hzo aje alete ufafanuziii maake ameingia ubia nao na wanaela zanguu🫴Ogopa sana hizi kampuni
1xbet (mama yao)
22bet
Helabet
Paripesa
Kimsingi hiyo ni kampuni moja ya mamafia wa Russia
Bongo walianza kama 1xbet wakashindwa sheria za bongo wakafutwa
Wakaja kwa mlango wa nyuma na jina la 22BET, wakatapeli watu kisha wakasepa
Wakarudi tena kwa dirisha la sebuleni kwa jina la HELABET, wakatapeli watu wakasepa kimya kimya
Na sasa wametoboa dari wamekuja kwa jina la PARIPESA, wameanza kufanya the same na walivyofanya 1xBet 22bet na Helabet
Kwanza mobile transactions zina anza kuja na kupotea, mara inabaki kudeposit tu kutoa hakuna
Baada ya hapo wanapotea mazima
Kama unaipenda sana hiyo kampuni njia rahisi na afadhali kidogo ni kutumia 1xbet kupitia mawakala ( ingawaje nayo ni kosa kisheria)
UKIONA KAMBUNI IMEONDOLEWA MOBILE PAYMENT UJUE IMEKOSA VIGEZO NA IMEPIGWA PINI KUENDELEA NA BIASHARA
Kambuni yoyote ambayo haina mobile payment..... bet at your own risk
Yani hii ni kampuni mojaa ila Inakujaa kivingine kila sikuuu..!!Ogopa sana hizi kampuni
1xbet (mama yao)
22bet
Helabet
Paripesa
Kimsingi hiyo ni kampuni moja ya mamafia wa Russia
Bongo walianza kama 1xbet wakashindwa sheria za bongo wakafutwa
Wakaja kwa mlango wa nyuma na jina la 22BET, wakatapeli watu kisha wakasepa
Wakarudi tena kwa dirisha la sebuleni kwa jina la HELABET, wakatapeli watu wakasepa kimya kimya
Na sasa wametoboa dari wamekuja kwa jina la PARIPESA, wameanza kufanya the same na walivyofanya 1xBet 22bet na Helabet
Kwanza mobile transactions zina anza kuja na kupotea, mara inabaki kudeposit tu kutoa hakuna
Baada ya hapo wanapotea mazima
Kama unaipenda sana hiyo kampuni njia rahisi na afadhali kidogo ni kutumia 1xbet kupitia mawakala ( ingawaje nayo ni kosa kisheria)
UKIONA KAMBUNI IMEONDOLEWA MOBILE PAYMENT UJUE IMEKOSA VIGEZO NA IMEPIGWA PINI KUENDELEA NA BIASHARA
Kambuni yoyote ambayo haina mobile payment..... bet at your own risk
ni kutufanya tu hatuna akili hawa bwege kwan kunautofauti gani kati ya over 1.5 na gg hawa chulla wapuuz sana nilijuaga over 0.5 ni kupata gori kuanzia 0.5 kuna siku mech zimetoka 0.0 nikasema mbona nimelost kumbeeWakubwa hivi kuna tofauti gani Kati ya over 0.5 na over 1?
Tofauti iko,,,Wakubwa hivi kuna tofauti gani Kati ya over 0.5 na over 1?
° over 0.5 ili ule lipatikane goli 1Wakubwa hivi kuna tofauti gani Kati ya over 0.5 na over 1?
bas tumekulaa vp na over 2.5 na under 2.5° over 0.5 ili ule lipatikane goli 1
° over 1 ili ule yapatikane magoli mawili. Likipatikana 1 unarudishiwa hela yako.
Hizi option ukigugo kwa kingereza wanakuelekeza vizuri tena kwa mifano.
° over 0.5 ili ule lipatikane goli 1
° over 1 ili ule yapatikane magoli mawili. Likipatikana 1 unarudishiwa hela yako.
Hizi option ukigugo kwa kingereza wanakuelekeza vizuri tena kwa mifano.
Tunaposema over maana yake ni juu ya bila ukomo.Kwenye 0.5 yakipatikana magoli labd 3 je unakuwa ume win bado?
Tunaposema over maana yake ni juu ya bila ukomo.
Hata yapatikane mya 7 umekula.
[emoji3]Muda wa Kulia Umeanza
Astropay kwenye ku withdrawal ni tatizo. Labda kwa wenye ujuzi watupe madini.nilikuwa nawaza labd njia mbadala kutoa pesa zangu ni astropay coment hii inaanz kunipa wasiwas,kule nako kweny perfect money mawakala wakisenge wanataka ueke kwanzia 28k kmmk utafkr hela inaokotwa tu