Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mechi za leo zimekaa kimagoli magoli kama watacheza kama kawaida yao ya kufunguka na kushambulia,,,, yaani zinaonekana open kweli,,,,,lakini sasa dah
 
Asante Sana mkuu kunifungua hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…