Bayern Msengee sanaSiku nyingine ya kanji kujikusanyia maokoto ya kutosha.😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bayern Msengee sanaSiku nyingine ya kanji kujikusanyia maokoto ya kutosha.😀
Kwel kabisaMkuu usiamini kila unachosikia
Mdau kulikuwa na options nyingi kwenye hii MechiBayern saiv ni Avarage team, Tuchel amefeli
😅😅😅😅Correct score Lazio 0 vs bayan 1 (0:1 ft)
PSG vs soceadad (0:0 ft)
mambo vipi WAKALA?Lazio vs Bayer over 1.5
PSG vs R. sociedad over 1.5
Leo nimeamua kutoa sadaka mtaa huu
Asante Sana mkuu kunifungua hapa.Ogopa sana hizi kampuni
1xbet (mama yao)
22bet
Helabet
Paripesa
Kimsingi hiyo ni kampuni moja ya mamafia wa Russia
Bongo walianza kama 1xbet wakashindwa sheria za bongo wakafutwa
Wakaja kwa mlango wa nyuma na jina la 22BET, wakatapeli watu kisha wakasepa
Wakarudi tena kwa dirisha la sebuleni kwa jina la HELABET, wakatapeli watu wakasepa kimya kimya
Na sasa wametoboa dari wamekuja kwa jina la PARIPESA, wameanza kufanya the same na walivyofanya 1xBet 22bet na Helabet
Kwanza mobile transactions zina anza kuja na kupotea, mara inabaki kudeposit tu kutoa hakuna
Baada ya hapo wanapotea mazima
Kama unaipenda sana hiyo kampuni njia rahisi na afadhali kidogo ni kutumia 1xbet kupitia mawakala ( ingawaje nayo ni kosa kisheria)
UKIONA KAMBUNI IMEONDOLEWA MOBILE PAYMENT UJUE IMEKOSA VIGEZO NA IMEPIGWA PINI KUENDELEA NA BIASHARA
Kambuni yoyote ambayo haina mobile payment..... bet at your own risk
Skrill vipi mkuu..haikusumbui? Hasa kwenye withdrawAstropay kwenye ku withdrawal ni tatizo. Labda kwa wenye ujuzi watupe madini.
Natumiaga Skrill kwenye kutoa pesa.
Uchawi upo kwenye betting [emoji23][emoji23][emoji23]Daaah Hawa Watoto wa QPR Mechi zao Tano za mwisho wamescore zaidi ya Goal 3 kila mechi
Leo wapo nyumbani, mpinzani ana red card ila hata Goal Moja kupata ni shida
View attachment 2903373