Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

8 odds GG ya mwisho kwa leo wapenzi, wacha tungoje sasa[emoji120]
 
Kuna muda unasikiliza kipindi cha michezo unaona wanapiga kelele tu!!
Ivi kuna waandishi kabisa wanadiriki kusema Simba imecheza michezo mingi inaenda kuwaathiri kwenye club bingwa!!

Wakati wengine tunatamani tufikie uwezo wa kucheza mechi kila baada ya siku tatu!!

Nchi imejaa wanafki sana hii
 
Wachambuzi wengi ni Wajinga, ingekuwa Yanga ndo inalalamika , ungesikia Wana kikosi kipana ,ila kwa Simba wanaona kama anaonewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…