Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Looser hao, usiingie na miguu miwili hawatabiriki.Azam Azam Azam
azam hawez toa droo mech hy kama unabisha tuweke hela hapa kuna buku hapa na wewe weka teniAzam Fail or Draw 3.7 odd
Umenipoteza lafa weeh,,,, nikazuiaAzam Fail or Draw 3.7 odd
Hata ukipoteza 'fine' ila nitakujibu kesho.. ni kama mgeni sana hapa.Umenipoteza lafa weeh,,,, nikazuia
boooooooooom[emoji4],8 odds GG ya mwisho kwa leo wapenzi, wacha tungoje sasa[emoji120]View attachment 2906185
Huwezi amini nimefurahi kuona watu wamepata chochote kupitia michango yetu humu.Wengine hatukudharau Mkuu..
i always do this na inatick, next match ya psv na team yoyote weka ov 2.5, na match ya mpinzani wake wa leo la team yoyote ile weka ov 2.5, ikiloose rudi hapa unifokee au nipige kabisa mpenzi, just trick ndogo tu , try that uje hapa mkuu[emoji4]Hivi kweli mnaweza kuamini kuwa PSV HAJATOA Over 2.5???? Na Mpinzani alipata Red Card Dakika ya 10???
Kanichania mike miwili
Mambo vipi mchumba, naona unaendelea kumshikisha muhindi adabuguys poleni, nilijisahau kuna slip ya couners nilijua nimepost humu ya 11 odds na imeboom[emoji32],nakuja kucheck ati sikuwapea kumbe[emoji20], im sorry guys kesho nayo ni siku, wakuu endeleeni pia kupost mhelp others pia
Mechi ya mchana kumbukaWakuu liverpool ana uhakika wa kutoa over 2.5 nataman tu ku cash out lakin imepigwa pin wachambuz mje kwanza mnisaidie nani alinituma kumpa liver over 2.5 dah
View attachment 2906208
Pls share!
sijakuelewa mkuu kwambaMechi ya mchana kumbuka
Bretford vs liverkukusijakuelewa mkuu kwamba