Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii Ligi Kila Mtu ni Mbabe wa Mwisho hadi wa kwanza, Bora kuwapa Magoli ila sio Direct win

Nimejichanganya leo
IMG_6348.jpg
 
Hivi kweli mnaweza kuamini kuwa PSV HAJATOA Over 2.5???? Na Mpinzani alipata Red Card Dakika ya 10???

Kanichania mike miwili
i always do this na inatick, next match ya psv na team yoyote weka ov 2.5, na match ya mpinzani wake wa leo la team yoyote ile weka ov 2.5, ikiloose rudi hapa unifokee au nipige kabisa mpenzi, just trick ndogo tu , try that uje hapa mkuu[emoji4]
 
guys poleni, nilijisahau kuna slip ya couners nilijua nimepost humu ya 11 odds na imeboom[emoji32],nakuja kucheck ati sikuwapea kumbe[emoji20], im sorry guys kesho nayo ni siku, wakuu endeleeni pia kupost mhelp others pia
 
Back
Top Bottom