Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pole J, that's how things work kwenye hii biashara kichaa. Bad day in the office
 
Leo kama nilisanuka vile maana ningetandika jamvi ilikuwa ni hatari.

Asubuhi nilikuwa nimetulia ndani kwa nje nikasikia maafisa ubashiri wakishauriana watembee na over 2.5 game ya Man City nayo waliamini itatoa, kama waliweka hali ni mbaya huko.
 
au huyu mubaba wangu kanilaani leo[emoji24], thats why everytime text , but no hajui ka nabet i know[emoji28]at least naeza sema si yeye
Tatizo lako la kwanza unaweka mikeka mingi sana kwa siku.

Mfano ukiweka mikeka mitano(5) kwa siku ukiliwa minne(4) na ukawin mmoja(1) hapo hata ile faida hautaiona.

Weka mikeka miwili tu mmoja odds 10 kwa stake kubwa, mwingine weka odds 50+ kwa stake ya kawaida hapo atleast utacheza na cash-out incase things are getting worse.

All in all huku ndani inabidi tushirikiane kutengeneza mkeka mmoja(1) au miwili(2).

Naamini kuna watu ni wataalamu wa premier league, wapo wataalamu wa bundesliga, italy serie A, hata spain league pia.

Tukipika kitu kimoja kwa kushirikiana in a long term naamini tutapiga pesa sana.

Ni mawazo tu, kazi iendelee!
 
Adui Yetu Mmoja Kesho Nayo Siku Kwa Sasa Pumzika
 
we laki tatu unalia wenzako juz nimeliwa m7 nasemaje nasemaje mkeka wa j moo humu ndan sitaki alie mtu nabii wenu sija lost kwahy sheherekeen afu we mudada mambo ya mume humu hatunaga mume ni huko huko mahome geloo, unatangaza una mume avata imenoga hapo kati unataka kutunyima nn ukiingia humu wote ujue kwamba humu wote hawajaoa wote wana vyeo wote wana majumba nk hakuna wa kulia lia humu afu kwanini umeingia tu humu bila kuja kanisan kwangu nikusain yakuwa ww ni muumin wangu ndan ya hili kanisa letu la mikeka win daile chin ya nabii wako mr pipa
 
broo tupo humu saiv karne ya 21 humu hata uwe na ushilikiano na majin hutusuiii wenzako walimejalibu kila mbinu wameondoka uzi wameniachia mm na mm nikaamua kujiita nabii wa mikeka usifanye mchezo bwana kuna mwamba alikuwa humu anajiita hakosei aka jt bundi aka mjuaj wa mikeka saiv kala pause
 
Hii industry ni ngumu sana ***** yaani unatafuta pesa amabayo huna uhakika nayo ya kuipata.
 
The power of new option
Hii option babu ni moto nimetembea thirty seven team in row anakuja kunichania mpuuzi mmoja ako na shinda four goal in a row.maumivu ya betting yako makubwa kuliko ata yale ya mupenzi
I Lost one and half million per one team even the stake ilikuwa two thousands Tz shillings

Even its would be good for God and the World let's win today.and that is the power of new option

Kama ikikupendeza Mungu.basi acha tu boom at least this single weekend,i saw vijana wengi humu Jf ako na pain.our God relving out our pain
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hii ni frustration
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…