Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Option gn hiyo
 
mikeka yes hua naeka 3 or even 5 or 6 na hua inashinda hata 3 au minne na kuna siku inashinda yote, but jana? yani uneshinda mmoja, tena nlokua naudharau nkaweka 10k tu odds 6, ati ndo ukashinda[emoji52], no jana was a bad day, but ndio bet ilivo, huezi kula everyday, ukila lazma uliwe, leo pia ni siku ngoja nijaribu tena[emoji120] inshaalah
 
jamaani[emoji28], haya sisemi tena ivo[emoji3]
 
Eeeeh kumbe hii ilibooooooooom pia, niliiweka betika[emoji16] sasa nilikua nafungua site zote huwa natumia nione zilizochana zimechanaje, nikakumbuka pia betika niliweka ngoja nicheck, nacheck bakuta maokoto[emoji120] thanks yaa-alah, kidogo hut si mbaya

betika nao wapuuzi tu sa mbona hawatumi sms jamani? mfyuuu zao

haya hongera ka ulicheza
 
napitia leo coment naona unapenda kujielezea san
humu jf ni just for stories na kupunguza stress, sie wadada umbea tunaupenda na raha ya umbea uongee utoe la rohoni, haya taacha kujieleza, right?
 
kingine acha kubet mikeka mingi itakucost bet km pro tulia toa wenge tathmin game b4 punguza odds hata 2 zinakutosha acha kueka msururu
 
kingine acha kubet mikeka mingi itakucost bet km pro tulia toa wenge tathmin game b4 punguza odds hata 2 zinakutosha acha kueka msururu
ok nimekuelewa mkuu, ni jana tu ndo nmeweka mingi na imenifunza, ubarikiwe[emoji120]
 
naomba unifafanulie inamaanisha nini hiyo option
 
mkuu tusukie na mkeka wa leo wa hii option , mi jana kanichania liverpool nimeliwa 20k kizembe kabisa , kwenye hii option tukitulia tutapata chochote
 
Tujaribu tena leo.

Hakikisha picha imefunguka. Kwa wenye mitaji hizi zitawafaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…