Mkuu itaje tukae stand by😁Wakuu nawasalimu.
soon kunakampuni itatao vilio kama betpawa.
Tuendelee kucheza ila make sure hutumii hela ya chakula cha famlia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu itaje tukae stand by😁Wakuu nawasalimu.
soon kunakampuni itatao vilio kama betpawa.
Tuendelee kucheza ila make sure hutumii hela ya chakula cha famlia
Option gn hiyoHii option babu ni moto nimetembea thirty seven team in row anakuja kunichania mpuuzi mmoja ako na shinda four goal in a row.maumivu ya betting yako makubwa kuliko ata yale ya mupenzi
I Lost one and half million per one team even the stake ilikuwa two thousands Tz shillings
Even its would be good for God and the World let's win today.and that is the power of new option
Kama ikikupendeza Mungu.basi acha tu boom at least this single weekend,i saw vijana wengi humu Jf ako na pain.our God relving out our pain
mikeka yes hua naeka 3 or even 5 or 6 na hua inashinda hata 3 au minne na kuna siku inashinda yote, but jana? yani uneshinda mmoja, tena nlokua naudharau nkaweka 10k tu odds 6, ati ndo ukashinda[emoji52], no jana was a bad day, but ndio bet ilivo, huezi kula everyday, ukila lazma uliwe, leo pia ni siku ngoja nijaribu tena[emoji120] inshaalahTatizo lako la kwanza unaweka mikeka mingi sana kwa siku.
Mfano ukiweka mikeka mitano(5) kwa siku ukiliwa minne(4) na ukawin mmoja(1) hapo hata ile faida hautaiona.
Weka mikeka miwili tu mmoja odds 10 kwa stake kubwa, mwingine weka odds 50+ kwa stake ya kawaida hapo atleast utacheza na cash-out incase things are getting worse.
All in all huku ndani inabidi tushirikiane kutengeneza mkeka mmoja(1) au miwili(2).
Naamini kuna watu ni wataalamu wa premier league, wapo wataalamu wa bundesliga, italy serie A, hata spain league pia.
Tukipika kitu kimoja kwa kushirikiana in a long term naamini tutapiga pesa sana.
Ni mawazo tu, kazi iendelee!
jamaani[emoji28], haya sisemi tena ivo[emoji3]we laki tatu unalia wenzako juz nimeliwa m7 nasemaje nasemaje mkeka wa j moo humu ndan sitaki alie mtu nabii wenu sija lost kwahy sheherekeen afu we mudada mambo ya mume humu hatunaga mume ni huko huko mahome geloo, unatangaza una mume avata imenoga hapo kati unataka kutunyima nn ukiingia humu wote ujue kwamba humu wote hawajaoa wote wana vyeo wote wana majumba nk hakuna wa kulia lia humu afu kwanini umeingia tu humu bila kuja kanisan kwangu nikusain yakuwa ww ni muumin wangu ndan ya hili kanisa letu la mikeka win daile chin ya nabii wako mr pipa
napitia leo coment naona unapenda kujielezea sanau huyu mubaba wangu kanilaani leo[emoji24], thats why everytime text , but no hajui ka nabet i know[emoji28]at least naeza sema si yeye
Eeeeh kumbe hii ilibooooooooom pia, niliiweka betika[emoji16] sasa nilikua nafungua site zote huwa natumia nione zilizochana zimechanaje, nikakumbuka pia betika niliweka ngoja nicheck, nacheck bakuta maokoto[emoji120] thanks yaa-alah, kidogo hut si mbaya
humu jf ni just for stories na kupunguza stress, sie wadada umbea tunaupenda na raha ya umbea uongee utoe la rohoni, haya taacha kujieleza, right?napitia leo coment naona unapenda kujielezea san
kingine acha kubet mikeka mingi itakucost bet km pro tulia toa wenge tathmin game b4 punguza odds hata 2 zinakutosha acha kueka msururuaiseee leo betting companies zimetuweza[emoji31], imagine , i think wasee hupanga matokeo aisee[emoji32] yani even zile matches zenye hukua sure ati zinatoka under 1.5 na hutoa even 7+[emoji24] nimelia sana, na msee kasafiri talia peke angu bedroom, au wacha nlale bedroom ya mabinti zangu[emoji24] skai peke angu takufa na presure[emoji24], indian kanila 320k today imagine[emoji24] uchawi upo
ok nimekuelewa mkuu, ni jana tu ndo nmeweka mingi na imenifunza, ubarikiwe[emoji120]kingine acha kubet mikeka mingi itakucost bet km pro tulia toa wenge tathmin game b4 punguza odds hata 2 zinakutosha acha kueka msururu
kila la kher[emoji106]ok nimekuelewa mkuu, ni jana tu ndo nmeweka mingi na imenifunza, ubarikiwe[emoji120]
naomba unifafanulie inamaanisha nini hiyo optionHii option babu ni moto nimetembea thirty seven team in row anakuja kunichania mpuuzi mmoja ako na shinda four goal in a row.maumivu ya betting yako makubwa kuliko ata yale ya mupenzi
I Lost one and half million per one team even the stake ilikuwa two thousands Tz shillings
Even its would be good for God and the World let's win today.and that is the power of new option
Kama ikikupendeza Mungu.basi acha tu boom at least this single weekend,i saw vijana wengi humu Jf ako na pain.our God relving out our pain
mkuu tusukie na mkeka wa leo wa hii option , mi jana kanichania liverpool nimeliwa 20k kizembe kabisa , kwenye hii option tukitulia tutapata chochoteHii option babu ni moto nimetembea thirty seven team in row anakuja kunichania mpuuzi mmoja ako na shinda four goal in a row.maumivu ya betting yako makubwa kuliko ata yale ya mupenzi