watu wanaziogopa hadi tips za leo jana, juz, majuz, wamenyosheka haswa sifa ya mr pipa nabii kutabiri ya mbele ndio sifa ya kipekee niliyonayo humu wakuu hiyi tips ya mdada ya leo hiyi inatoa mwenye kipesa aweke tu mana nimeshawafungulia roho
Wapuuzi naona siku hizi wanabet underHawa Man City ni Matako
Hivi virtual pia unaeza share code? Lakini ni bahati nasibu tu boss, sitaki lawama asee 😁😁Uwe unatutumia basi hizk Code za Virtual on time ili nasi tupunguze Machingu
Mi naamin mtu akifika hatua ya kuomba code za virtual bas hastahili hii biashara ya betting ..inamana huyu skillz za betting hana kabisaaa...na ataliwa sana kama anafosi betting kwa kuiga ama kwa mihemkoHivi virtual pia unaeza share code? Lakini ni bahati nasibu tu boss, sitaki lawama asee [emoji16][emoji16]
Ni kweli aise, hii biashara inahitaji skills na kujitoa sana... ila kuiga ni mwiko maana unaweza ukaenda nje ya mipango yako ukawa maskini aise, mfano kama Mimi kwenye virtual napoteza sana tu, ni mara chache nabahatika. Na ndio maana sitabet virtual hadi nibet kawaida nishinde, then kiasi kidogo cha faida nakitenga kwaajili ya virtual kutafutia mtaji wa kubet kawaida tena... Hiyo ndio circle yangu kwenye hii biashara boss!Mi naamin mtu akifika hatua ya kuomba code za virtual bas hastahili hii biashara ya betting ..inamana huyu skillz za betting hana kabisaaa...na ataliwa sana kama anafosi betting kwa kuiga ama kwa mihemko