Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Apa Atuna utim mkuu wenye elim izi ndio wataelewa nini lilicho andika
Ujue hapa kwenye jukwaa la mikeka kuna watu wanasoma maoni kimya kimya halafu wanaweka pesa na hawaandiki chochote.

Sasa wewe ndugu yetu na nyota zako jana umewaingiza cha kike watu wa namna hii.
ULIFELI KWA 100% na utabiri wako.

1. Ulisema simba na mpinzani watatoka draw ya kufungana, haikutokea draw ya namna hiyo.

2. Ulisema simba anaweza kufa 2:1 haikutokea, ulifeli.

3. Ulisema timu zote zitapata magoli, haikutokea.

NINACHOWEZA KUSEMA
Betting kupitia mpira wa miguu haitabiriwi kwa nyota, tusidanganyane kabisa.

Hii ni kwa sababu vitu vinavyoweza kubadilisha matokeo ni vingi, mfano! kuna;
1. refa
2. kocha
3. timu kama timu
4. mchezaji mmoja mmoja anaweza kubadili kabisa matokeo.
5. hali ya hewa
 
Hivi kuna watu kabisa wanawekaga Mikeka kwa kufuata hayo Mautabiri ya nyota
 
Ndugu yangu! Huu unajimu wako kafanye jukwaa la MMU au la siasa. Huku unafanya usengee.
 
Kama nyita zingekuwa zinatoa matokeo basi kina sheikh yahaya wangekufa hali ya kuwa ni mabilionea
 
Kama nyita zingekuwa zinatoa matokeo basi kina sheikh yahaya wangekufa hali ya kuwa ni mabilionea
Huoni leo alitabiri yanga kupoteza au kutoa draw ya kufungana.

Yanga mpaka sasa anaongoza 3:0

Yaani hata unajimu wa double chance kachemsha.

Aache kucheza na hela za watu.
 
Humu hakuna mtabiri zaidi yangu sema watu mnachukii mpaka sasa nimeuza odd kwa watu 80 na wote wamewin nyie chula endeleen kulia lia sijui braiton sijui man unit mtajua wenyewe ka laki mbili kangu kakuuza odd wana wamepata mamilion ya pesa mi ngoja nikajilewee, nawauliza tena hv kuna siku nimeleta humu utabir ukafeli kama tu wa juz nimewatajia had idad ya magori na bado mmekaza fuvu maninar endeleen kuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…