Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sema life bhana,,, namsikia mwamposa anavyokusanya pesa kingese kupitia tv ya jirani,,,, ila maisha nyie
 
Jamani psg anataka kuninyima hela vp ni cash out au niendelee kusubiri
 
uliangalia list ya majeruhi ya liverpool mkuu?
yani kupata draw kwa kikosi cha leo wamejitahidi sana, 1st eleven yote wapo wodini (ulitegemea watakupa chochote?)
Mbona Liver kashinda kamoko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…