Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinouma, imagine OG Nice anashindwa kushinda hii game ..kubeti kunatia hasira....
Hungary ligi yao haina magoli sana
Kwenye betting nilichojifunza kuweka odd ndogo haikupi garantee ya kushinda wakati mwingine tunakimbilia odd ndogo na kuacha kubwa na bado tunaangukia pua
Kwenye betting nilichojifunza kuweka odd ndogo haikupi garantee ya kushinda wakati mwingine tunakimbilia odd ndogo na kuacha kubwa na bado tunaangukia pu
Acha kutuona sisi mandezi , kalisha pumbu zako mzee!! Hakuna wa kununua oddMental illness
Kanji konyoYule mwamba wakuitwa JITU BANDIA Yuko wapi?
😂😂😂 Dah maisha haya nyie acheni tuSaizi ni saa mbili kasoro usiku, ngoja nilale tu timu zangu zote zimefungwaView attachment 2916192
uliangalia list ya majeruhi ya liverpool mkuu?Liverpool Mbwa nyie
Hatari sana aiseeHii final ya liver nme ingia cha kike maboya hayapiigi corner kabsa
PSG umemwona hukoSafi juve bado watatu
Psg
Madrid
Inter
Mbona Liver kashinda kamoko?uliangalia list ya majeruhi ya liverpool mkuu?
yani kupata draw kwa kikosi cha leo wamejitahidi sana, 1st eleven yote wapo wodini (ulitegemea watakupa chochote?)
Nimelala yooPSG umemwona huko