Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Saizi ni saa mbili kasoro usiku, ngoja nilale tu timu zangu zote zimefungwa
Screenshot_20240225-194342.jpeg
 
Sema life bhana,,, namsikia mwamposa anavyokusanya pesa kingese kupitia tv ya jirani,,,, ila maisha nyie
 
Jamani psg anataka kuninyima hela vp ni cash out au niendelee kusubiri
 
uliangalia list ya majeruhi ya liverpool mkuu?
yani kupata draw kwa kikosi cha leo wamejitahidi sana, 1st eleven yote wapo wodini (ulitegemea watakupa chochote?)
Mbona Liver kashinda kamoko?
 
Back
Top Bottom