Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu hongera kwa kuendelea na mapambano. Hakika nawaambieni kuna mchongo mpyaaaaa
Yaani huu ni mchongo mpyaaaaaaa
Bonge moja la MCHONGOOO

Jioni nitaleta somo hapa, nawahakikishieni huu mwaka kila mtu anaenda kubali maisha kwa viwango vya ajabu.
 
Punguza sauti mkuu kuna wakala wao huku ndani wasije wakapeleka habari kwa kanji

Huo mchongo uandike kwa kipare wasielewe.
 
Wakuu hongera kwa kuendelea na mapambano. Hakika nawaambieni kuna mchongo mpyaaaaa
Yaani huu ni mchongo mpyaaaaaaa
Bonge moja la MCHONGOOO

Jioni nitaleta somo hapa, nawahakikishieni huu mwaka kila mtu anaenda kubali maisha kwa viwango vya ajabu.
Aminaaa! Ndiyooo!
 
BET WAY,🔥🔥🔥🔥🔥🔥
1. OPTION YA DOUBLE CHANCE &GOAL
CODE 7C863E7
2.Optoon ya 1.5 over code 7C78F73
3.OPTION YA O.5 OVER COMB
CODE 7C78BE7

4.option ya 1.5 code 7C85247
 
Upo sahihi kabisabeting inaambatana na hicia huwezi kutaka hicia zifanane kuna muda mtu anatengeneza timu 5 za hisia zenye odd kubwa na risk na zinabutua wengi tunazania odd ndogo ndio kuwa safe , na option tunazotumia ni za kawaida sana double chance ,Gg , corner ,card ,hard cup kidpgo sana ...bado sana
 
Wapi mr pipa nabii wamikeka leo ni siku ya kupiga stori hapa uzini hahaha eti uzini ooo hapa jamvuwini, naona leo hakuna team kabisa kwenye app zetu vuten picha mmelala mnaamka asubuh app za kubet zote zimefungiwa! baado sijasema vuta picha nimeleta odd 20000 wana jamvuwi wote mmekopi mkeka wangu mnaamka asubui wote mmeshinda bilion 2 mtalipwa kweli? Mana ninampango wa kufunga siku 3 ili nipate maono ya odd elfu 30 yote won ili vijana mkajiajili
 
Back
Top Bottom