zero percent
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 559
- 644
Atletico madrid anabatizwa kwa moto 😬
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YupoIvi Mr cocktail JITU BANDIA amepotelea wapi jamaa yetu tumemiss coktail ya [emoji459] na [emoji460]
Balaa zito,anachezewa mpira mwingii mnoooAtletico madrid anabatizwa kwa moto 😬
Pole sana mkuuNaamka macho yamelenga kwenye balance nakuta kama nilivyoacha jana. Hapa hakuna haja ya kukagua mikeka maana sina cha kujifunza.
Timu sijui zinaongwaa?Leo nmeliwa mikeka mingi balaa[emoji29]
Dah ahsantePole sana mkuu
Hivi hiyo Galatasaray ilikuwa ni ligi au cup au ni ya watoto au au ya🤔 aisee Tena kwaoTunakwama wapi? Kwa option ya over 1.5 goals zilikuwa odds 12. Nikazembea!View attachment 2920686
Yaani bora acheze sporty hero huwa ina odds kubwa kidogo kuliko aviatorAviator inammaliza rafiki yangu
Ulikuwa Cup hiyoHivi hiyo Galatasaray ilikuwa ni ligi au cup au ni ya watoto au au ya[emoji848] aisee Tena kwao
Vipigo vimeshusha morali ya wakamalia.Leo hambet?
mpo Ngara sehem ganNimeona tupo location moja tutafutane inbox
Kazi kaziLeo hambet?
Wameshakujibu apo mkuu Win probability %0.17