Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zote ni nzuri mie natumia mastercard NMB siku 2 za kazi kwa bank transfer pesa inafika kwenye akaunti toka bet365.Wakuu kati ya VISA na mastercard ipi ni nzuri kwenye kutoa na pokea pesa?
VISA Umeshawahi kutumia? nilikuwa natumia zamani BANCABC baadaye ikaanza kugoma.Zote ni nzuri mie natumia mastercard NMB siku 2 za kazi kwa bank transfer pesa inafika kwenye akaunti toka bet365.
Ndo maana yake sheikhSory Mkuu! Away or over 2.5, inamaana hata kama home ameshinda ila kuna magol 3 ina maan mkeka ume tiki au?
Ndio mkeka umetikiSory Mkuu! Away or over 2.5, inamaana hata kama home ameshinda ila kuna magol 3 ina maan mkeka ume tiki au?
Ahly atashinda Kigoli kimojaJicho langu linaona hivi:
Al ahly vs Yanga
Hii mechi Ina mshawasha sana,,, Yanga wanaamini watapata ushindi hivyo watacheza kwa kutaka matokeo!!
Wachezaji wa Al ahly watataka kuonyesha ukomavu!!
Hii mechi itakuwa ya kiumakini sana,,, naamini milango itakuwa migumu kwa pande zote mbili!!!
Sioni Yanga ikipata goli na wala sioni al ahly ikipata goli!!!
Correct score yangu ni 0:0 ft
Ni maoni yangu,,, kulingana na kariba za timu hizi mbili ijapokuwa mizania inalalia kwa al ahly kupata matokeo ila ni 0:0
bookies wana crash games za kindege kwa uchache. kuna site maalum ya Kibongo kwa ajili vindege. ina vindege karibia vyote vya kila aina.Yaani bora acheze sporty hero huwa ina odds kubwa kidogo kuliko aviator
Sioni pa kuweka code kwenye appWeekend Imefika!
Leo Nayo Siku Adui Yetu Mmoja
Sportpesa Code : msdoW8
Odds : 206
Nenda sehemu kwa chini kabla hujaweka mkeka pameandikwa have a codeSioni pa kuweka code kwenye app