Pole sanatunabeti sana ila hatuchambui mechi za hela...
tupo wengi sana ila kila mtu anabeti kivyake..
hapa kuliwa itakua kawaida kila siku
Duuh757E161 sportbet weka laki
Upo sahihi kabisatunabeti sana ila hatuchambui mechi za hela...
tupo wengi sana ila kila mtu anabeti kivyake..
hapa kuliwa itakua kawaida kila siku
Punguza sauti mkuu kuna wakala wao huku ndani wasije wakapeleka habari kwa kanjiWakuu hongera kwa kuendelea na mapambano. Hakika nawaambieni kuna mchongo mpyaaaaa
Yaani huu ni mchongo mpyaaaaaaa
Bonge moja la MCHONGOOO
Jioni nitaleta somo hapa, nawahakikishieni huu mwaka kila mtu anaenda kubali maisha kwa viwango vya ajabu.
Niliipa under, roho ikakataa nikampa direct win.Wale wazee wa under kazi wanayo
Ila huu uzi nikiingia huwa nacheka sana
Won imeambatanishwa na screenshot ya livescore,sio mkeka uliotiki πππ
Aminaaa! Ndiyooo!Wakuu hongera kwa kuendelea na mapambano. Hakika nawaambieni kuna mchongo mpyaaaaa
Yaani huu ni mchongo mpyaaaaaaa
Bonge moja la MCHONGOOO
Jioni nitaleta somo hapa, nawahakikishieni huu mwaka kila mtu anaenda kubali maisha kwa viwango vya ajabu.
Upo sahihi kabisabeting inaambatana na hicia huwezi kutaka hicia zifanane kuna muda mtu anatengeneza timu 5 za hisia zenye odd kubwa na risk na zinabutua wengi tunazania odd ndogo ndio kuwa safe , na option tunazotumia ni za kawaida sana double chance ,Gg , corner ,card ,hard cup kidpgo sana ...bado sana
MhhhVp timu zetu simba na yanga zitatoboa leo kweli
Naona zimekuwa postponed maana zote zina mechi tarehe 1 na 2Mhhh
Karibu kwenye Chama