Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Nasubiri mbinu hiyo mkuuSoon nakuletea mbinu ya kupiga hela virtual sports
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasubiri mbinu hiyo mkuuSoon nakuletea mbinu ya kupiga hela virtual sports
[emoji3]Si bahati bali biashara ambayo wengi ya watu kama wewe hamna mtaji, hivyo mnajikuta mnatengeneza mikeka mirefuuu isiyo na maana
Shukrani sana mkuu hebu ngoja niifanyie kazi hiyo mbinu aisee.chagua timu 1 tu bora kuliko zote, yenye pointi nyingi, beti kuanzia round ya 20+, mara nyingi inaongoza timu hiyo hiyo mpaka mwishoni.
Cha kufanya; subiri timu inayoongoza ilost/idraw michezo 2, kishe weka mkwanja round inayofuata, ukikosa weka mwingine (kwa mahesabu) urudishe ulichopoteza na faida juu!
Kumbuka; timu yenye pointi nyingi haitapoteza zaidi ya mara nne mfululizo & odds ni nzuri sana.
Igia BETPAWA
Cc. Kanali_
fanya hivoShukrani sana mkuu hebu ngoja niifanyie kazi hiyo mbinu aisee.
Utuletee mrejeshoShukrani sana mkuu hebu ngoja niifanyie kazi hiyo mbinu aisee.
YapNaona uzi umepoa ngoja nije baada ya man city kufungwa mana leo city hatok kwa mkapa.... Et kwa mkapa ngoja nakuja kuwaletea odd za kishua odd laki na ushee asie win mchawi
betting ni ya wachache mzee. wengi tunasindikiza tu kwa kisingizio cha betting ni bahati.Si bahati bali biashara ambayo wengi ya watu kama wewe hamna mtaji, hivyo mnajikuta mnatengeneza mikeka mirefuuu isiyo na maana
Kamoja bado sana ....akipigwa 0-2 ndiyo itakuwa shida kidogoMan U
Kamoja bado sana ....akipigwa 0-2 ndiyo itakuwa shida kidogo
Noma sanaaa...!!betting ni ya wachache mzee. wengi tunasindikiza tu kwa kisingizio cha betting ni bahati.
Dah nimempa handcap ya +1 lkn naona kisanga na mwenzie raja wanaangusha kabati langu la thamaniGirona ndio kusema pumzi ishakata maana siku hizi matokeo yake sio mazuri.
Kaamua kuachia tu ili mwakani ashiriki yuefa. Kwa ule moto sitaki kuamini eti ameishiwa pumzi.Girona ndio kusema pumzi ishakata maana siku hizi matokeo yake sio mazuri.
Hao mallorca walimfunga majuzi tu girona ktk copa del rey...odds zilikaa kimtegoDah nimempa handcap ya +1 lkn naona kisanga na mwenzie raja wanaangusha kabati langu la thamani