Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

chagua timu 1 tu bora kuliko zote, yenye pointi nyingi, beti kuanzia round ya 20+, mara nyingi inaongoza timu hiyo hiyo mpaka mwishoni.

Cha kufanya; subiri timu inayoongoza ilost/idraw michezo 2, kishe weka mkwanja round inayofuata, ukikosa weka mwingine (kwa mahesabu) urudishe ulichopoteza na faida juu!

Kumbuka; timu yenye pointi nyingi haitapoteza zaidi ya mara nne mfululizo & odds ni nzuri sana.
Igia BETPAWA
Cc. Kanali_
Shukrani sana mkuu hebu ngoja niifanyie kazi hiyo mbinu aisee.
 
Naona uzi umepoa ngoja nije baada ya man city kufungwa mana leo city hatok kwa mkapa kipind cha kwanza tu man u atamkanda moja kwa mkapa.... Et kwa mkapa ngoja nakuja kuwaletea odd za kishua odd laki na ushee asie win mchawi
 
Kamoja bado sana ....akipigwa 0-2 ndiyo itakuwa shida kidogo

IMG_4450.png

Nashawishika kumpa Man U Double Chance odd 2 saafi
 
dah hii game ya city-utd eti dk 40 bado tayar kona 12.........

anyway, utd over 3.5 kona ilikua na odds 2 na nilitembea nayo, ngoja tuone kama wataongeza hizo 2
 
Nahitaji wakala 1XBET mwenye adress:
City: DAR ES SALAAM
Street: TABATA
 
aiseee.....
man yu mwenzake anakona 15, yeye kakosa kona 4 kweli?
hii timu kisanga
 
Back
Top Bottom