Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Shukrani sana mkuu hebu ngoja niifanyie kazi hiyo mbinu aisee.
 
Naona uzi umepoa ngoja nije baada ya man city kufungwa mana leo city hatok kwa mkapa kipind cha kwanza tu man u atamkanda moja kwa mkapa.... Et kwa mkapa ngoja nakuja kuwaletea odd za kishua odd laki na ushee asie win mchawi
 
dah hii game ya city-utd eti dk 40 bado tayar kona 12.........

anyway, utd over 3.5 kona ilikua na odds 2 na nilitembea nayo, ngoja tuone kama wataongeza hizo 2
 
Nahitaji wakala 1XBET mwenye adress:
City: DAR ES SALAAM
Street: TABATA
 
aiseee.....
man yu mwenzake anakona 15, yeye kakosa kona 4 kweli?
hii timu kisanga
 
Girona ndio kusema pumzi ishakata maana siku hizi matokeo yake sio mazuri.
Kaamua kuachia tu ili mwakani ashiriki yuefa. Kwa ule moto sitaki kuamini eti ameishiwa pumzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…